Ney wa Mitego awachana JK na Zitto

Ney wa Mitego awachana JK na Zitto

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.
 
Kama mtanzania ametoa maoni yake kikatiba ila kupitia sanaa inayomfanya kuishi hapa mjini.
 
Kweli ila anaonyesha wazi Bwana Lowasa anavyomkubali.
 
Mbona sioni huko kuwachana! Si maoni yake tu hayo ambayo mtu yeyote anaweza sema!
 
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.
Nijuavyo mimi mgogoro wa Mtwara ulishatulia maana wenye mapembe walishakatwa, na gesi ITATOKA!...huo wimbo ushapitwa na wakati!
Shida naiona kwako kwa kutoleta ile hotuba ya P.Kagame juzi!
 
Hili jukwaa linaelekea kubaya

"Nchi ngumu hii"
 
akiingia kambi ya Lowasa atapotea bila huruma yoyote , amuulize kala jeremia , wiki moja tu katoweka kwenye top ten za redio zote hadi tbc !
 
Tanzania tumetawaliwa na wanasiasa na wanamuziki wa matukio msimu wa fiesta unakuja Neema Mitego ameshawahi Mtwara
 
...kwa sredi hivi na fikra hizi za ki-ccm tutaendelea kuwa masikini mafukara pengine mpaka mwisho wa sayari hii dunia...I'm out...
 
Nijuavyo mimi mgogoro wa Mtwara ulishatulia maana wenye mapembe walishakatwa, na gesi ITATOKA!...huo wimbo ushapitwa na wakati!
Shida naiona kwako kwa kutoleta ile hotuba ya P.Kagame juzi!

Mapembe kayakata nani?? kumbuka moto wa gesi hauna moshi, usitegemee kuona ukifuka ila moto bado unawaka sana.
 
kama mtu akipata wakati wakisikiloza huo wimbo atagundua kuwa Ney ameamua kuropoka kuanzia swala bss hadi swala la zitto.

Mh Zitto alichofanya nikujaribu kuwasaidia wasanii kupata haki zao kipitia miito ya sauti na ni wazi hawakuonesha ushirikiano kwa kujitoa ili kushinikiza kupandiahiwa malipo kutokana na nyimbo zao, na kwa hili Ney alipaswa kuwa na shukrani maana wasanii walipaswa kuishinikiza serikali ili kuisukuma kampuni za simu na katika hili zitto hakupaswa kulaumiwa kabisa bali kushukuriwa.

Ney ana mkashifu zitto as if zitto ni waziri wa kushughulikia maswala yao.
Ney ukimaikiliza humo ni wazi utagundua hajui anacho kisema na niwazi hajui kwanini tulipewa masikio mawili na mdomo mmoja.
 
f27.jpg
hapa alikuwa kwenye futari maalum iliyoandaliwa na jk kwa ajili ya wasanii
 
Ney ni mwendawazimu,ata mende anamshinda kufikiri na washabiki wake anafanana nao akili.......
 
kama mtu akipata wakati wakisikiloza huo wimbo atagundua kuwa Ney ameamua kuropoka kuanzia swala bss hadi swala la zitto.

Mh Zitto alichofanya nikujaribu kuwasaidia wasanii kupata haki zao kipitia miito ya sauti na ni wazi hawakuonesha ushirikiano kwa kujitoa ili kushinikiza kupandiahiwa malipo kutokana na nyimbo zao, na kwa hili Ney alipaswa kuwa na shukrani maana wasanii walipaswa kuishinikiza serikali ili kuisukuma kampuni za simu na katika hili zitto hakupaswa kulaumiwa kabisa bali kushukuriwa.

Ney ana mkashifu zitto as if zitto ni waziri wa kushughulikia maswala yao.
Ney ukimaikiliza humo ni wazi utagundua hajui anacho kisema na niwazi hajui kwanini tulipewa masikio mawili na mdomo mmoja.

We ndo hujui ukisemacho,Rose Muhando ndo alieeongoza kwa kupewa M27 kwa nyimbo zake kwa mwez je nayo n kaz ya Zitto kabwe?acha unaz ww,Ney kawachana.
 
nay ni kubwa jnga2,mviv wa kufikir.nia ya zto ni kujarb kuishnkiza serkal iboreshe kpato cha artists!probably rose anapaswa kulpwa zaid ya hzo m27!
 
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.

Mswahili aliyekulia manzese, amshkuru Diamond alivyomtoa kwenye game vinginevyo angeendelea kuwa pusher uswahilini kwao.
 
anaelekea kubaya sana dogo yule...
Anavuka mipaka..
 
Back
Top Bottom