Ney wa Mitego ni msanii anayejitambua

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Wasanii tubaki kuwa wahamasishaji tu kuanzakukashfu viongozi utadhani labda nawewe umekua mwanasiasa au Mgombea itakujakutu Cost baadae'.

‘Huwa najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana wanasahau wao ni wasanii na wana mashabiki wenye imani tofauti, pia kuna Maisha baada ya uchaguzi,endeleeni kutumika vibaya kwa njaa ya leo na kwa maslahi ya wachache na kusahaukuna kesho. Pigania unacho amini lakini sio kwa kashfa wala Matusi, Mimi naamini
Mabadiliko2015. Tukutane October2′ – Nay wa Mitego..
 
yac huyu ni moja kati ya wanaharakati bora kabisa wa hiphop hata bongo mtafautishe na nasibu na wala hafanani na wema sepeture
 
Nasikitika sana nionapo wasaniii wa Bongo Hio Hop wamesahau misingi ya Hip Hop ambazo moja ya Nguzo ni Knowledge nad Movement. Wakati kuna wasanii wa Hip Hop walitakiwa kusimama katika misingi ya Hip Hop ya kupigania Haki na Ukombozi wa Taifa hili na sio kuiga wale wa Bongo Fleva sababu muziki wao hauna misingi. Wafuatao ni Wasanii wa Bongo Hip Hop ambao wamesimamia misingi na wanauelewa muziki wa Hip Hop wanaoufanya:

1. Joseph Mbilinyi-SUGU
2. Joseph Haule
3. Rymes of Magic Attraction-R.O.M.A
4. Kala Jeremaya
5. Solothang
6. Nikki Mbishi
7. Magazijuto
8. Sogydog
9. Peenlawyer
10 Mkoloni
11. VINEGA
12. ANTIVIRUS

WASANII WA HIP HOP WALIOSALITI HIP HOP NA MIONGOZO KWA SABABU YA PESA..

1. Akiwemo Fid q na wengineo

Kuanzia leo nasema sisapoti muziki na nyimbo zote za Fid Q na wala Show zake.

Hii ni Tofauti na wenzetu U.S.A ambao magwiji wa HIP HOP kama Young Geezy, NAS, Talib Kweli, Rakim, Jay Z, Eminem, Kanye West walisapoti harakati za Obama.

SHAME TO FID Q JITAMBUE WANA HARAKATI WENZIO SUGU NA PROF.JAY WANAKWENDA MJENGONI WEWE ENDELEA KUTUMIKA KAMA CNDM.
 
Noncommited

Hapo we mwenyewe hujielewi au huelewi kinachoendelea

Nay wa mitego Yeye ndoto yake ni lowassa kuwa Raisi na sio mabadiliko wala ukawa... Kipindi lowassa yupo CCM anapoendaa kuomba wadhamini Arusha NEY WA MITEGO PAMOJA NA MWENZAKE WOLPER wote walikuwa wanaCCM pureee kumpigia debe lowassa apate kuchaguliwa kuiwakilisha CCM ambao leo hii wanaiponda Ila laiti kama asingekatwa wasingekuja Ukawa.. Mtu wa hivyo sio mwanaharakati ni mfuata upepo kiasi kwamba Lowassa kazinguana na chadema leo karudi FISIEM watarudi nae walivyo hawajielew

HAO WENGINE wakina prof j wote wameangalia wapi pa kutokea kisiasa CHADEMA ndio imewafaa suala la harakati sijui hip hop hakunaa hata hivyo haiingiliani na Suala la kuunga mkono chama fulani labda kama ni kukiuka haki za kibinadamu..
 
Last edited by a moderator:
Hell yeah hip is the knowledge and hop is the movement so hip hop is the intelligent movement.
 

Hiyo listi yangu sijawaweka Profesa Jay na SUGU sababu ya kugombea Ubunge kwa Tiketi ya CDM bali kwa nyimbo zao zipo kiharakati zaidi (Harakati za maisha ya watu wa chini, Uonevu, Uvunjifu wa haki za binadamu, ubaguzi wa ajira n.k) rejea Nyimbo zao za zamani:

SUGU:------Mikononi mwa Polisi (Kwa ajili ya mwanafunzi wa Iyunga Michael aliyeuawa mikononi mwa polisi 1998), HAKI feat justine Kalikawe (Machinga Mbeya), Deiwaka, Hali halisi, Money money pesa, Mambo ya fedha, Nje ya Bongo, Ndani ya bongo n.k

PROFESA JAY:-------Chemsha bongo feat HBC, Machozi, Jasho na Damu, Ndio mzee, sio mzee, Msinitenge, Taifa la kesho n.k


Kwa hiyo hawajajikita kwenye nyimbo za kuchochea ulevi, ngono na burudani zaidi bali kuelimisha na kuwakumbusha watawala. kwa hiyo milengo yao imeendana na vyama walikokwenda kugombea. Kwa hiyo akili, upeo na mlengo wake ndio utafanana na chama atakachopenda kukisapoti. Kitakuwa kitu cha ajabu msanii kama ROMA anayewaponda kwenye CCM kwenye nyimbo zake aende CCM kuomba ridhaa ya uongozi si kitu rahisi.

Bahati mbaya nimewasahau malejendari kama Afande Sele na Kalapina walioko ACT wazalendo maana nyimbo zao zipo kiharakati na wamekwenda kwenye vyama vya kiharakati.

Wasanii wengi mwanaosifia pombe, ngono na wapo kiburudani zaidi kwenye nyimbo mpaka maisha yao wanasapoti au wapo CCM sababu CCM itikadi zao sio za kiharakati wao ndio watawala na wanakula bata kwa kwenda mbele ndio maana kwenye kampeni zao wapo kiburudani zaidi na wasanii wengi kutoa burudani na kulipwa pesa na kulisha watu ubwabwa.
 
Nilichojifunza kwenye hiki kinachoitwa "mabadiliko" wengi hawazijui au si wafuatiliaji wa mambo ya hizi siasa zetu sasa WATU WANAOWAFUATA WATU ( SI VYAMA)WANA TOFAUTI GANI NA MTU KAMA AFANDE SELE ALIYEMFUATA ZITTO
 
Asee nilikuwa namchukulia km zero.brain huyu jamaa amenproove wrong kabisa
Amewaacha mbali sana kina fid q
Anawakaribia kina roma pr.j kala jere na sugu
 
........hongera Ney kwa kujitambua!
 
Kwani ni lazima fid q awe na itikadi sawa na wewe? Kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama gani akifuate kama ambavyo wewe umeona chadema ndivyo hivo fid q kaona Ccm ukisikia uhuru wa kuchagua ndio huo mkuu
 
Noncommited

Yah wengi hawajui nini maana ya hip hop,ingawa wanajipambanua kama sana hip hop,mi naona ni bora wakaimbe taarabu tu maana hip hop hawaijui
Nakupongeza sana Mkuu kwa uchambuzi mzuri na mfupi wenye kueleweka
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mtu akiwa na itikadi tofaut na wew kaisaliti hiphop?
Mawazo mgando
 
Noncommited

Hao wasanii wako unaoona wanajitambua wote njaa kali...nyie endeleeni kuwatia ujinga tu eti waache pesa kisa harakati za hip hop. Unaijua hip hop kapuku wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…