Ney wa Mitego ni msanii anayejitambua

Ney wa Mitego ni msanii anayejitambua

Kwa hiyo mtu akiwa na itikadi tofaut na wew kaisaliti hiphop?
Mawazo mgando

Achana nao washamba na malimbukeni hao...hao kina kala roma mkoloni mapacha wote njaa kali kwa ujinga wa kufuata mkumbo
 
asee nilikuwa namchukulia km zero.brain huyu jamaa amenproove wrong kabisa
amewaacha mbali sana kina fid q
anawakaribia kina roma pr.j kala jere na sugu
kwa hiyo ili uwe mwana hip hop kamili lazima uwe mfuasi wa ukawa? Bavicha hivi kwanini hamna tofauti na wasanii wa futuhi..?
yah wengi hawajui nini maana ya hip hop,ingawa wanajipambanua kama sana hip hop,mi naona ni bora wakaimbe taarabu tu maana hip hop hawaijui
nakupongeza sana mkuu kwa uchambuzi mzuri na mfupi wenye kueleweka

fid na stamina nlishawatoa akili....njaa njaa tu afu eti wanajifanya wanawadis (kiaina) eti wanaharibu hip hop akati wenyew wanashindwa kuelewa misingi yake!

#vivajohmakini
#vivaweusiiiii

umemsahau mwana fa msanii aliyesaliti hip hop.

johmakini atabaki kuwa ontop kwenye hip hop game in tz. Anajua nn anafanya nn mashabiki wake wanataka. Gudmusic gudlifestyle #weusi4ever
 
Si msanii tu ila ni mtanzania anayejitambua kwani anaona hali halisi ya nchi ilivyoharibiwa na CCM kwa miaka 54.
 
Noncommited

Hao wasanii wako unaoona wanajitambua wote njaa kali...nyie endeleeni kuwatia ujinga tu eti waache pesa kisa harakati za hip hop. Unaijua hip hop kapuku wewe

Mama wewe tena mama wa HT Kama hauna uelewa wa Hip Hop sio lazima ukoment. Yaani hata jina lako linaonekana la kipumbavu na lakizuzu eti kalagabaho. Unafikiri tupo kwenye mipasho humu. Endeleeni na muziki wenu wa kuhamasisha na kuchochea ngono mtaani na kuiharibu jamii ya watanzania.
 
kwa hiyo ili uwe mwana hip hop kamili lazima uwe mfuasi wa ukawa? Bavicha hivi kwanini hamna tofauti na wasanii wa futuhi..?
Unaijua misingi ya hip hop wewe?usituletee taarabu zako hapa kiazi we
 
Back
Top Bottom