kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kwa hiyo mtu akiwa na itikadi tofaut na wew kaisaliti hiphop?
Mawazo mgando
kwa hiyo ili uwe mwana hip hop kamili lazima uwe mfuasi wa ukawa? Bavicha hivi kwanini hamna tofauti na wasanii wa futuhi..?asee nilikuwa namchukulia km zero.brain huyu jamaa amenproove wrong kabisa
amewaacha mbali sana kina fid q
anawakaribia kina roma pr.j kala jere na sugu
yah wengi hawajui nini maana ya hip hop,ingawa wanajipambanua kama sana hip hop,mi naona ni bora wakaimbe taarabu tu maana hip hop hawaijui
nakupongeza sana mkuu kwa uchambuzi mzuri na mfupi wenye kueleweka
fid na stamina nlishawatoa akili....njaa njaa tu afu eti wanajifanya wanawadis (kiaina) eti wanaharibu hip hop akati wenyew wanashindwa kuelewa misingi yake!
#vivajohmakini
#vivaweusiiiii
umemsahau mwana fa msanii aliyesaliti hip hop.
johmakini atabaki kuwa ontop kwenye hip hop game in tz. Anajua nn anafanya nn mashabiki wake wanataka. Gudmusic gudlifestyle #weusi4ever
Noncommited
Hao wasanii wako unaoona wanajitambua wote njaa kali...nyie endeleeni kuwatia ujinga tu eti waache pesa kisa harakati za hip hop. Unaijua hip hop kapuku wewe
Unaijua misingi ya hip hop wewe?usituletee taarabu zako hapa kiazi wekwa hiyo ili uwe mwana hip hop kamili lazima uwe mfuasi wa ukawa? Bavicha hivi kwanini hamna tofauti na wasanii wa futuhi..?
Unaijua misingi ya hip hop wewe?usituletee taarabu zako hapa kiazi we
Wewe na Ney Wa Mitego mnaijua.
Kakojoe ulale sasa