Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.
A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo huikumbuki. Yani kama vile ulishawahi kuisikia kwenye maisha yako yaliyo pita ( Kabla hujazaliwa )
So far huu ndio wimbo bora kabisa ndani ya mwaka huu 2024. Mpaka sasa hivi nimesha usikiliza zaidi ya mara ishirini.