Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Neymar amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Brazil national football team kitakachoshiriki 2026 FIFA World Cup.
Nyota huyo wa Brazil anarejea rasmi kuiongoza timu ya taifa baada ya kukaa nje kwa zaidi ya miaka miwili tangu alipocheza mechi yake ya mwisho. 🇧🇷🏆⚽
Kocha Carlo Ancelotti amemteua nyota huyo baada ya kurejea katika kiwango kizuri, jambo ambalo limeleta furaha kubwa kwa mashabiki wa soka duniani kote.
Neymar Jr:
Takwimu zake na Brazil: Mechi 128, mabao 79 (mfungaji bora wa muda wote wa Brazil).
Beki wa zamani wa Kushoto wa Brazil na Real Madria, Marcelo Vieira alivyopokea Neymar kurejea kikosini.
Ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe kubwa baada ya Carlo Ancelotti kulitaja jina la Neymar katika kikosi cha Brazil.
Nyota huyo wa Brazil anarejea rasmi kuiongoza timu ya taifa baada ya kukaa nje kwa zaidi ya miaka miwili tangu alipocheza mechi yake ya mwisho. 🇧🇷🏆⚽
Kocha Carlo Ancelotti amemteua nyota huyo baada ya kurejea katika kiwango kizuri, jambo ambalo limeleta furaha kubwa kwa mashabiki wa soka duniani kote.
Neymar Jr:
- Mara ya mwisho kucheza Brazil: 17 Oktoba 2023 dhidi ya Uruguay.
- Mara ya mwisho kuitwa kikosini: Mei 2026 kwa kikosi cha Brazil national football team cha 2026 FIFA World Cup.