Mkuu haya ni mawazo yako tu coz huwezi kuyathibitisha kua ni kweli kocha amemwita kwa mapenzi nje ya mpira.
Sawa.
Mkuu haya ni mawazo yako tu coz huwezi kuyathibitisha kua ni kweli kocha amemwita kwa mapenzi nje ya mpira.
Inashangaza sana kuona mataifa makubwa kisoka wakizidi kuwaamini na kuwapa kazi makocha wa kigeni kufundisha timu zao za Taifa.Halafu kwenye historia ya World Cup,hakuna kocha aliyeshinda hilo kombe kwa kuifundisha team ambayo sio ya nchi yake,
Foreign coach has never won FIFA World Cup.
Brazil ya 2002 iliyochukua kombe la dunia ya kina Ronaldinho, Ronaldinho, Cafu, Roberto Carlis na Ronaldo ilisuasua sana hata kufuzu. Ilifuzu kwa mbinde kombe la dunia 2022 Korea/Japan lakini ikawa bingwa.Hii Brazil inyosuasua ndo inaweza shangaza Dunia ukashangaa wanaingia hata Nusu Fainali au Fainali kabisa Lakin inategemea na atakayekutana naye Nusu Fainali ili aende Fainali,
Neymar nimemuangalia kwa siku za karibuni mechi zaid ya 10 ambazo kafunga almost magoli 8 na pia amekuwa na faida ya ku hold watu wana concentrate na yeye huku wenzake wakitengeneza Mianya ya kufunga
Ila Speed yake imepungua,
Kwa aina ya washambuliaji kama Vini na Endrik ! Hapa Neymar anaweza kuwalisha vema
Ila cha kushangaza mabeki wa Brazil hii siyo wale tunaowajua wenye uwezo! Hawa alio okota okota toka Fllamingo na kwingine wanapwaya
But The truth is that Ancelotti was a genius:
- Kept Neymar out for 1 year
- Motivated the guy to work hard
- Shut down Brazil for months with this debate
- Kept the mystery going until the end
- Called up Neymar
The whole world stopped, waiting for our call-up. Brought a people together again.
Britanicca
Kama vipi weka basi hicho kikosi chote cha wachezaji 26 na timu wanazotokea.Neymar amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Brazil national football team kitakachoshiriki 2026 FIFA World Cup.
Nyota huyo wa Brazil anarejea rasmi kuiongoza timu ya taifa baada ya kukaa nje kwa zaidi ya miaka miwili tangu alipocheza mechi yake ya mwisho. 🇧🇷🏆⚽
View attachment 3590920
Kocha Carlo Ancelotti amemteua nyota huyo baada ya kurejea katika kiwango kizuri, jambo ambalo limeleta furaha kubwa kwa mashabiki wa soka duniani kote.
Neymar Jr:
- Mara ya mwisho kucheza Brazil: 17 Oktoba 2023 dhidi ya Uruguay.
- Mara ya mwisho kuitwa kikosini: Mei 2026 kwa kikosi cha Brazil national football team cha 2026 FIFA World Cup.
Takwimu zake na Brazil: Mechi 128, mabao 79 (mfungaji bora wa muda wote wa Brazil).
Beki wa zamani wa Kushoto wa Brazil na Real Madria, Marcelo Vieira alivyopokea Neymar kurejea kikosini.
View attachment 3590921
Ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe kubwa baada ya Carlo Ancelotti kulitaja jina la Neymar katika kikosi cha Brazil.
View attachment 3590924
Man u nao wametoa wawiliArsenal tumeweka Gabriel wawili.