Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wataishia hatua ya makundi na huyo 'Neema' wao.
Kweli angemwacha makelele yangekuwa mengi sana. Si Brazil tu bali duniani kote.Ni mahaba tuu Ancelotti kwa Neymar, jamaa ameshaisha, pia wabrazili wanaamini huyu jamaa ana kipaji ila amekuwa "spoiled".. 😁
Ancelotti amecheza ana akili yao; angemuacha kikosini kungekuwa na kelele....
Nacheka kwa dharau HAHAHA!Hii Brazil inyosuasua ndo inaweza shangaza Dunia ukashangaa wanaingia hata Nusu Fainali au Fainali kabisa Lakin inategemea na atakayekutana naye Nusu Fainali ili aende Fainali,
Neymar nimemuangalia kwa siku za karibuni mechi zaid ya 10 ambazo kafunga almost magoli 8 na pia amekuwa na faida ya ku hold watu wana concentrate na yeye huku wenzake wakitengeneza Mianya ya kufunga
Ila Speed yake imepungua,
Kwa aina ya washambuliaji kama Vini na Endrik ! Hapa Neymar anaweza kuwalisha vema
Ila cha kushangaza mabeki wa Brazil hii siyo wale tunaowajua wenye uwezo! Hawa alio okota okota toka Fllamingo na kwingine wanapwaya
Britanicca
Kweli angemwacha makelele yangekuwa mengi sana. Si Brazil tu bali duniani kote.
Kacheza na akili yao, hakukuwa na sababu nje ya hiyo. Ngoja tuone bado siku kama 20 hivi , panawaka.
Exactly
But I myself how João Pedro has missed out on Brazil’s World Cup Squad given the fantastic season he has had at club level.
I’m sure he’ll be back next season even more motivated than ever.
Britanicca
Am not happy with Danilo in defense an Paqueta in midfieldNaona ni kama kocha anakuwa na machaguo mengi ya mfanano. It might have been the reason. Deschamps kamwita Ng'olo Kante ufaransa... imagine!
Am not happy with Danilo in defense an Paqueta in midfield
Tusubiri tuone.Kacheza na akili yao, hakukuwa na sababu nje ya hiyo. Ngoja tuone bado siku kama 20 hivi , panawaka.
Kama ni kweli Carlo Ancelotti kamchagua Neymar kwa kuogopa kelele za watu,basi hana sifa za kuitwa kocha,pia hana msimamo na wala hajiamini,Kweli angemwacha makelele yangekuwa mengi sana. Si Brazil tu bali duniani kote.
Makocha wengi sasa hivi hawana misimamo. Kingine kinachompa ugumu Ancelotti ni kwamba yeye si raia wa Brazil.Kama ni kweli Carlo Ancelotti kamchagua Neymar kwa kuogopa kelele za watu,basi hana sifa za kuitwa kocha,pia hana msimamo na wala hajiamini,
World cup ya 2002 kocha Scolari hakumuita Romario,Dunia nzima ilipiga kelele ila Scolari alishikilia msimamo wake,
Brazil wakachukua World cup 2002 Japan.
Chivundu
Kama ni kweli Carlo Ancelotti kamchagua Neymar kwa kuogopa kelele za watu,basi hana sifa za kuitwa kocha,pia hana msimamo na wala hajiamini,
World cup ya 2002 kocha Scolari hakumuita Romario,Dunia nzima ilipiga kelele ila Scolari alishikilia msimamo wake,
Brazil wakachukua World cup 2002 Japan.
Chivundu
Mkuu hii ni hoja nyingine kabisa,Brother, tujipe subra Neymar hatacheza dakika 90 na kuwepo katika first 11, atakuwa anaingia late au kutoka late.
Amekwisha.
Mkuu hii ni hoja nyingine kabisa,
Hoja niliyoijadili ni Neymar kuitwa team ya taifa,issue ya kucheza 1st eleven ni issue nyingine.
Halafu kwenye historia ya World Cup,hakuna kocha aliyeshinda hilo kombe kwa kuifundisha team ambayo sio ya nchi yake,Makocha wengi sasa hivi hawana misimamo. Kingine kinachompa ugumu Ancelotti ni kwamba yeye si raia wa Brazil.
Mkuu haya ni mawazo yako tu coz huwezi kuyathibitisha kua ni kweli kocha amemwita kwa mapenzi nje ya mpira.Kocha amemwita kwa mapenzi nje ya mpira, ndio hoja yangu mkuu.