Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

huyu dogo anaujinga mwingi sana. alikuwa na opponent mdhaifu(Nacho) lakini showoff nyingi. wangeconcentrate kupitisha mpira kwa Mbappe pengine mambo yangekuwa tofauti kidogo. mpaka goli la kwanza ndiyo wakagundua umuhimu wa Mbappe.
Wale wapambe wa neymar waliokuwa wanapiga kelele ooh neymar mchezaji bora waje hapa
 

Umeongea ukweli mtupu. Halaf nimeshangaa DI MARIA hakuwepo. Kama mimi ndiye kocha na nnahitaji matokeo basi siwezi kumuacha Di maria nje. Kwangu mimi Di maria ni mzuri kuliko neimar mbwembwe nyingi. Hata pesa yenyewe waliotoa haiendani nae. Mwarabu kapata hasara sana pale___Nyambafu kabisa.
 
Nilishangazwa sana na kitendo cha PSG kutowapa hadhi yao wachezaji kama kina Lucas Moura aisee
 
Panyalona mtakufa kwa depression ya vitu visivyowahusu . Cr7 ndo habari ya Ulimwengu.
 
Neymar alikua anafanya show ili Perez amnunue msimu ujao hakna kingne, ameona kwa psg ameingia chaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…