Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Neymar anahitaji kocha jeuri, wakupiga bench kama Pep kwa Aguero...
Alimwambia nataka ucheze navyo taka mm, siyo kama unavyo taka ww!
Showz kibao, anacheza legelege!! Hajitumi, haforce mambo!!
Chenga na dribles za kitoto!!
Toa hapa story zako za kwenye vijiwe vya kahawaPep yupi haaah Huyu Messi alimfukuza pale Barca au ujuagi[emoji23]
Kocha Jeuri pekee ni fegie tu
Toa hapa story zako za kwenye vijiwe vya kahawa
Mkuu di Maria wa Man U au wa real Madrid? Kilichowazidi psg n timu pinzan kuwa na uzoefu wa mashindano makubwa na uzoefu unatikana kwa kucheza mechi nyingi za ligi ya mabingwa sio ufaransaAnaigharimu timu mkuu. Kama mimi ndie kocha ningemuanzisha De maria uone moto wake.
Huyu ndio neymar mnaesema mrithi wa cr7 na mess??
Neymar hana Uwezo Wa Robben
Jipeni moyo.. Hakuna PSG ya kuitoa Madrid pale hata mlale makaburini.ndio maana napenda psg acheze tiago silva, anakua si mtu wa kujisahau, kocha alishindana wa psg alishindana na zezou kwenye kufanya sab, ni kweli cavani jana hakuonekana lakini alikua analindwa sana, kiasi ambacho mabeki walikua bize kwa cavani. baada ya kutoka cavani ndo kina ramos wakaanza kutanuka na nahisi hata mfumo walibadilisha madrid. na ukiangalia mpira madrid walitafutwa tangu daika ya 50 mpaka 73. naamini kama kocha atapanga kikosi chake imara na wakicheza kwa uweledi nyumbani wana uwezo wa kuipiga madrid 2-0
Kwani goli la PSG lilikuwa na ubora gani hasa.Neymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Mkuu yale ndo magoli ya madrid ktk hatua za mtaono tusiende mbali angalia wakina buyern munich walivyotolewa na hadi fanali juve kichapo alichopata kirahisi kama ukionaNeymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Madrid hawahitaji kiwango kikubwa. Wanachotaka ni kukufunga tu, kiwango kikubwa baki nacho hukohuko. Haya kafungukeni nyumbani mpigwe counter attacks, speed ya CR7 unaijua, cross pass za Marcello unazijua, accurate passing ya Toni unaijua. Kila la HeriNeymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Kupata vichekesho hivi tunatuma kwenda namba ipi?Sijui nimeoteshwa au vipi...ila next game pale France,Madrid anakula za kutosha tuuu....PSG 4-1 Madrid..
hifadhi hii comment
Voda *150*05#Kupata vichekesho hivi tunatuma kwenda namba ipi?