Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

Neymar anahitaji kocha jeuri, wakupiga bench kama Pep kwa Aguero...

Alimwambia nataka ucheze navyo taka mm, siyo kama unavyo taka ww!

Showz kibao, anacheza legelege!! Hajitumi, haforce mambo!!
Chenga na dribles za kitoto!!

Pep yupi haaah Huyu Messi alimfukuza pale Barca au ujuagi[emoji23]

Kocha Jeuri pekee ni fegie tu
 
Neymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
 
ndio maana napenda psg acheze tiago silva, anakua si mtu wa kujisahau, kocha alishindana wa psg alishindana na zezou kwenye kufanya sab, ni kweli cavani jana hakuonekana lakini alikua analindwa sana, kiasi ambacho mabeki walikua bize kwa cavani. baada ya kutoka cavani ndo kina ramos wakaanza kutanuka na nahisi hata mfumo walibadilisha madrid. na ukiangalia mpira madrid walitafutwa tangu daika ya 50 mpaka 73. naamini kama kocha atapanga kikosi chake imara na wakicheza kwa uweledi nyumbani wana uwezo wa kuipiga madrid 2-0
Jipeni moyo.. Hakuna PSG ya kuitoa Madrid pale hata mlale makaburini.
 
Acheni kulia lia humu na uchambuzi wenu uchwara. Madrid imeizidi PSG hata kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja. Madrid hii ndio iliyowafunga kila timu kubwa mwaka jana na mwaka juzi msijisahau.
 
Neymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Kwani goli la PSG lilikuwa na ubora gani hasa.
 
Neymar ni mchezaji mzuri sana basi tu ni wivu wa kimpira mlio nao mashabiki wa barca na wengine,kajitahidi sana kwenye ile gemu ila kwa kuwa mliingia kwa kumkosoa huwezi ziona jitihada zake,Makosa ya PSG yalikuwa kwa kocha kwenye ufanyaji wa sub,alipomtoa Cavan nilidhani atamuingiza mshambuliaji kumbe ni kiungo sasa Neymar umlaum kwa lipi. Hata Mimi siku wahi kumpenda neymar na brazili yake ila dogo anaujua saaaana,mbona mbappe naye aliharibu tu,
 
Sikatai neymar anatabia Fulani Fulani,ika mbona kama anabadilika katoa pasi nyingi sana za goal basi tu sijui mlikuwa mnangalia nini,Mtu kazingirwa na wachezaji wanne na viungo wengine wanakodolea macho miguu yake bado unataka atoe pasi,Atatoaje pasi wakati kuna miguu zaidi ya nane inauzuia huo Mpira,ametoa pasi nyingi tu,acheni ushabiki wa kimaandazi muburudike na soka,
 
Sijui nimeoteshwa au vipi...ila next game pale France,Madrid anakula za kutosha tuuu....PSG 4-1 Madrid..

hifadhi hii comment
 
Kweli kabisa, mbona gwiji Pele alishasema haya sana tu...
 
Neymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Mkuu yale ndo magoli ya madrid ktk hatua za mtaono tusiende mbali angalia wakina buyern munich walivyotolewa na hadi fanali juve kichapo alichopata kirahisi kama ukiona
 
Neymar alichelewesha ushindi wa psg mara kibao. Alikuwa akikabwa na watu si chini ya 3 kila akishika mpira lakini akawa anataka kuwalamba chenga badala ya kutoa pasi kwa wachezaji waliofungua. Mbaya zaidi emery alitaka kila mashambulizi yapitie upande wa neymar ingawa madrid walikuwa na namna ngumu ya kumharasi pindi ashikapo mpira.
Mbappe alisahaulika upande wa kulia lakini walivyobadili njia wakapata goli la kwanza.
Game bado ngumu kwa pande zote kwa maana hata magoli ya madrid hayakuwa yakishawishi kuwa wana kiwango kikubwa hivyo itawawia ugumu psg wasipate matokeo endapo watakuja na mbinu mpya ya kutengeneza nafasi za kufunga.
Madrid hawahitaji kiwango kikubwa. Wanachotaka ni kukufunga tu, kiwango kikubwa baki nacho hukohuko. Haya kafungukeni nyumbani mpigwe counter attacks, speed ya CR7 unaijua, cross pass za Marcello unazijua, accurate passing ya Toni unaijua. Kila la Heri
 
Back
Top Bottom