Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

aliurudisha kwa kisigino kurudi nyuma. labda kama niliover look

Labda sio neimar huyu tunaemjua. Wakati yuko Barca muda mwingi anakaa na mpira huku suarez akiwa katika nafasi ya kuscore lakini hampi pasi. Why!! Mbona messi sio mbinafsi mpaka penalt anampa kupiga assist ndio usiseme!!!! kajamaa kabinafsi sana haka, na ballon dor ataisikia kwa wengine kama sio DYBALA, HAZARD,KANE,BASI MBAPPE. Mark my words
 
Kumchukia neymar ni sawa na kujamba ndani ya shuka ulilojifunika,Neymar ametoa assist,neymar ametoa pass za mwisho nyingi tu cavani kakosa,mbona hata messi naye ni mmilikiwa Mpira mkubwa tu,Acheni roho ya wivu bna,Mkiingia uwanjani kuangalia Mpira basi wivu wekeni pembeni angalie miguu inavyofanya kazi,mtu anazingirwa na kamati mzima ya ulinzi ya madrid bado unataka atoe pasi atatoaje sasa .Siipendi brazili wala barca,ila me nawalubali neymar messi,ronaldo,gaucho na wote wenye Mpira wa burudani
 
Na wanaompaisha zaidi ni wale wanaoichukia Barca. Mimi ni Barca fans, nilitamani mno madrid ipigwe lakini kwa usharobaro wake huyu dogo imewagharimu mno psg. Siku anaondoka Barca kwakweli am so happy maana ni mbinafsi sana, na kujiona sana hata cr7 sio hivyo tena.....Inshort huyu dogo ni nuksi/mkosi katika timu. So Psg wasitaraji ubingwa wowote chini ya huyu dogo , labda aaanzie benchi.
mimi ananiudhi kwenye ishu ya cavan ananiudhi sana,katakuwa kama robinho.
 
Mkiwa mnamulaumu Neymar mkumbuke uwezo wa opponents zao pia(Kina Marcelo, Isco, Asensio, Casemiro)

2nd leg tutaona PSG watavyokua wanafungua kwa kasi huku Madrid wakipiga counter za kutosha.

Naamini PSG atashinda nyumbani ila Madrid ndio atafuzu hatua inayofuata.
R.Madrid alivyo na roho mbaya hasa kwenye michuano hii ya uefa unaweza kuta mtu akizikiwa nyumbani kwake tena kwa kichapo kitakatifu,
 
Nimesoma comments nyingi mkimlaumu Mwl Unai Emery kwa kushindwa kumpanga Beki na Nahodha Thiago Silva hilo ni kweli na nawaunga mkono.

Ila kuna jambo moja ambalo wengi hamjaligundua, Kocha Unai Emery alikosea sana kumpanga Kiungo Fundi Marco Veratti kwenye kiungo wa ulinzi.

Dunia nzima inatambua ubora wa Veratti upo kwenye eneo la kiungo wa Ushambulizi.
Ni upotevu wa muda na rasilimali kipaji kumpanga mtu kama Veratti " The next Pirlo " katika eneo la namba sita huku namba sita ukiwa nao wa kutosha nje akiwemo Lassana Diara.
 
Naangalia mtanange wa Uefa hapa kati ya Real Madrid Vs Psg naona Neymar licha ya kuwa na kipaji kikubwa bado ndani ya uwanja ameshindwa kuonesha thamani yake zaidi ya kufanya utoto mwingi kama vile kujiangusha na kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu yake. Hana na tofauti na mpaka rangi kwenye Nywele kutoka Manchester!
Kama PSG wanamtegemea Neymar awape mafanikio watasubiri sana!

Povu ruksa...
ana magoli mangapi mpaka sasa mkuu,tangu ajiunge na psg
 
Nimesoma comments nyingi mkimlaumu Mwl Unai Emery kwa kushindwa kumpanga Beki na Nahodha Thiago Silva hilo ni kweli na nawaunga mkono.

Ila kuna jambo moja ambalo wengi hamjaligundua, Kocha Unai Emery alikosea sana kumpanga Kiungo Fundi Marco Veratti kwenye kiungo wa ulinzi.

Dunia nzima inatambua ubora wa Veratti upo kwenye eneo la kiungo wa Ushambulizi.
Ni upotevu wa muda na rasilimali kipaji kumpanga mtu kama Veratti " The next Pirlo " katika eneo la namba sita huku namba sita ukiwa nao wa kutosha nje akiwemo Lassana Diara.

Hakuwa na option nyengine kwa ilo mkuu. angewaekea Diara Kina Mudric, Kroos, Isco mechi ingelimaliza mapema tu. PSG wanammisi sana Tiago Motta. Angekuemo pasingeharibika kitu kati.
Na kuhusu Silva amepoteza ubora wake. Hebu mtulizie unapomtizama, bora huyo kipembe basi ana uafadhali. Kuhusu ayo hakukosea kabisa.
Kosa alilofanya ni kumtoa Cavani pamoja nakutokumuingiza Di Maria. Natatizo kuu ni siasa. Neymar na Mbappe wamefanywa kama mamasihi wakati wote bado ni wachezaji wakawaida tu.
Tatizo kubwa linalowala PSG ni poor transfer. Neymar hakuhitajika kwenye timu yao, Sisemi kama Neymar nimchezaji mbovu bali kwa timu yao hawakua wakimuhitaji, Walifanya usajili wakishabik zaidi. Walihitaji central defender wa nafasi ya Silva, Walihitaji Defending midfield wa kumkava Motta pamoja Backup striker wa Cavani. Pesa ya Neymar ingetumika kutatulia matatizo hayo amabayo ndiyo yaliokua yanawasambua basi mambo yangelikua mengine saivi.
 
Naymar alicheza vizuri sana sema beki wa psg walifanya makosa mengi sana. Pia kocha kumwacha nje T.Silva ambaye ni kiongozi na beki mzoefu alifanya kosa kubwa sana.

Tatu baada ya dk 79 kumtoa cavan na kumwingiza beki lilikua kosa jingine afadhali angemtoa cavan na kumwingiza mtu kama lassana diara ambaye ni kiiongo mkabaji mzuri.

Upo mbali sana mkuu.

Neymar alicheza vizuri vipi wakati mechi nzima ametengeneza nafasi moja tu nayeye ndio playmaker wa timu. au ulishulishwa na madashdashi?
T.Silva amepoteza ubora wake mkuu tizama mechi zao utahakikisha.
Na unasema angeingizwa Diara??? kosa lilikua ni kumtoa Cavani sio nani kaingia. kwasababu timu mbele ilikufa baada ya kutoka yeye.
 
mimi ananiudhi kwenye ishu ya cavan ananiudhi sana,katakuwa kama robinho.

Mkuu! Uyu dogo hafiki mbali, this year katimiza 26 years old bila bollon wala fifa best player wala nini! Na age inaenda kasi. Messi ameanza kuchukua ballon d'or akiwa na miaka 21, Cr7 amechukua akiwa na 23. And now kama tunavyomuona Messi yupo on fire zaidi ya mchezaji yeyote, amesaini kandarasi mpya mpaka 2021. Sasa neimar ataambulia nini hapo! Asubiri jamaa atimize ballon 8. Ndipo ajipange na age itakuwa ishamtupa, alafu kuna DYBALA pia, Mbappe n.k dogo ana wakati mgumu sana😀😀😀
 
Upo mbali sana mkuu.

Neymar alicheza vizuri vipi wakati mechi nzima ametengeneza nafasi moja tu nayeye ndio playmaker wa timu. au ulishulishwa na madashdashi?
T.Silva amepoteza ubora wake mkuu tizama mechi zao utahakikisha.
Na unasema angeingizwa Diara??? kosa lilikua ni kumtoa Cavani sio nani kaingia. kwasababu timu mbele ilikufa baada ya kutoka yeye.

Huyu kocha hafai kabisa. Dawa ilikuwa moja tu,,Kipindi cha pili wangelimtoa neimar wakamuingiza DI MARIA mapafu ya mbwa. Alafu Cavani wasingemtoa.
 
Hakuwa na option nyengine kwa ilo mkuu. angewaekea Diara Kina Mudric, Kroos, Isco mechi ingelimaliza mapema tu. PSG wanammisi sana Tiago Motta. Angekuemo pasingeharibika kitu kati.
Na kuhusu Silva amepoteza ubora wake. Hebu mtulizie unapomtizama, bora huyo kipembe basi ana uafadhali. Kuhusu ayo hakukosea kabisa.
Kosa alilofanya ni kumtoa Cavani pamoja nakutokumuingiza Di Maria. Natatizo kuu ni siasa. Neymar na Mbappe wamefanywa kama mamasihi wakati wote bado ni wachezaji wakawaida tu.
Tatizo kubwa linalowala PSG ni poor transfer. Neymar hakuhitajika kwenye timu yao, Sisemi kama Neymar nimchezaji mbovu bali kwa timu yao hawakua wakimuhitaji, Walifanya usajili wakishabik zaidi. Walihitaji central defender wa nafasi ya Silva, Walihitaji Defending midfield wa kumkava Motta pamoja Backup striker wa Cavani. Pesa ya Neymar ingetumika kutatulia matatizo hayo amabayo ndiyo yaliokua yanawasambua basi mambo yangelikua mengine saivi.

Sioni kama kuna sababu ya mtu yeyote kukupinga. Hoja zako zipo makini mno. Na nikweli kabisa unavyosema kuwa Neimar na Mbappe wamefanywa mamasihi pale.

Yani PSG ilitakiwa wapate kocha mfano wa Pep Guadiola ungeona kama angelemba wachezaji wa style iyo Kama tunavyoona kwa Neimar, kimetoka Santos kishamba kama nini 😀😀😀😀 alafu kinajifanya master pale. Nyambafu kabisa 😀😀😀😀
 
Di maria serius jamaa ni chance creater, Jamaa anatia michuzi ya uhakika na hapo ndipo utakapomuona Cavani anavojitwika vichwa.
PSG in wachezaji wenye vipaji wengi sana. Di maria, Cavani, Pastore, Veratti, Draxler, Mbappe. Lakin tatizo kubwa wote wanashindwa kupata uhuru wa kutosha wa kucheza mpira kwasababu ya Neymar, Mipira yito inalazimishwa apewe yeye Kila kitu anataka afanye yeye mpaka Penalty, free kick, Corner.

Kanautafuta ufalme kwa nguvu. anataka afanane na Meesi 😀😀
 
Mi sio shabiki wa Neymar ila pls mashabiki wa Barcelona jaribun kumpa dogo heshima yake
 
Back
Top Bottom