hata hawaongelei assist ya goli la psg. daah, bnadam bwana
Ulitizamia TV ya inchi ngapi mpira?
Neymar hakutoa assist, Beki ndie alieukoa mpira ukamkuta rabiot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hawaongelei assist ya goli la psg. daah, bnadam bwana
Aingie mapafu ya mbwa DI MARIA hapo mpira utanoga mkuu. ila Neimar wamefungwa anazidi kukaa na mpira na kupoteza muda utegemee kuwatoa madrid kwao!!!!! Madrid anaenda kupiga sio chini ya goli 3.
aliurudisha kwa kisigino kurudi nyuma. labda kama niliover lookUlitizamia TV ya inchi ngapi mpira?
Neymar hakutoa assist, Beki ndie alieukoa mpira ukamkuta rabiot.
aliurudisha kwa kisigino kurudi nyuma. labda kama niliover look
mimi ananiudhi kwenye ishu ya cavan ananiudhi sana,katakuwa kama robinho.Na wanaompaisha zaidi ni wale wanaoichukia Barca. Mimi ni Barca fans, nilitamani mno madrid ipigwe lakini kwa usharobaro wake huyu dogo imewagharimu mno psg. Siku anaondoka Barca kwakweli am so happy maana ni mbinafsi sana, na kujiona sana hata cr7 sio hivyo tena.....Inshort huyu dogo ni nuksi/mkosi katika timu. So Psg wasitaraji ubingwa wowote chini ya huyu dogo , labda aaanzie benchi.
R.Madrid alivyo na roho mbaya hasa kwenye michuano hii ya uefa unaweza kuta mtu akizikiwa nyumbani kwake tena kwa kichapo kitakatifu,Mkiwa mnamulaumu Neymar mkumbuke uwezo wa opponents zao pia(Kina Marcelo, Isco, Asensio, Casemiro)
2nd leg tutaona PSG watavyokua wanafungua kwa kasi huku Madrid wakipiga counter za kutosha.
Naamini PSG atashinda nyumbani ila Madrid ndio atafuzu hatua inayofuata.
ana magoli mangapi mpaka sasa mkuu,tangu ajiunge na psgNaangalia mtanange wa Uefa hapa kati ya Real Madrid Vs Psg naona Neymar licha ya kuwa na kipaji kikubwa bado ndani ya uwanja ameshindwa kuonesha thamani yake zaidi ya kufanya utoto mwingi kama vile kujiangusha na kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu yake. Hana na tofauti na mpaka rangi kwenye Nywele kutoka Manchester!
Kama PSG wanamtegemea Neymar awape mafanikio watasubiri sana!
Povu ruksa...
Nimesoma comments nyingi mkimlaumu Mwl Unai Emery kwa kushindwa kumpanga Beki na Nahodha Thiago Silva hilo ni kweli na nawaunga mkono.
Ila kuna jambo moja ambalo wengi hamjaligundua, Kocha Unai Emery alikosea sana kumpanga Kiungo Fundi Marco Veratti kwenye kiungo wa ulinzi.
Dunia nzima inatambua ubora wa Veratti upo kwenye eneo la kiungo wa Ushambulizi.
Ni upotevu wa muda na rasilimali kipaji kumpanga mtu kama Veratti " The next Pirlo " katika eneo la namba sita huku namba sita ukiwa nao wa kutosha nje akiwemo Lassana Diara.
Naymar alicheza vizuri sana sema beki wa psg walifanya makosa mengi sana. Pia kocha kumwacha nje T.Silva ambaye ni kiongozi na beki mzoefu alifanya kosa kubwa sana.
Tatu baada ya dk 79 kumtoa cavan na kumwingiza beki lilikua kosa jingine afadhali angemtoa cavan na kumwingiza mtu kama lassana diara ambaye ni kiiongo mkabaji mzuri.
mimi ananiudhi kwenye ishu ya cavan ananiudhi sana,katakuwa kama robinho.
Upo mbali sana mkuu.
Neymar alicheza vizuri vipi wakati mechi nzima ametengeneza nafasi moja tu nayeye ndio playmaker wa timu. au ulishulishwa na madashdashi?
T.Silva amepoteza ubora wake mkuu tizama mechi zao utahakikisha.
Na unasema angeingizwa Diara??? kosa lilikua ni kumtoa Cavani sio nani kaingia. kwasababu timu mbele ilikufa baada ya kutoka yeye.
Hakuwa na option nyengine kwa ilo mkuu. angewaekea Diara Kina Mudric, Kroos, Isco mechi ingelimaliza mapema tu. PSG wanammisi sana Tiago Motta. Angekuemo pasingeharibika kitu kati.
Na kuhusu Silva amepoteza ubora wake. Hebu mtulizie unapomtizama, bora huyo kipembe basi ana uafadhali. Kuhusu ayo hakukosea kabisa.
Kosa alilofanya ni kumtoa Cavani pamoja nakutokumuingiza Di Maria. Natatizo kuu ni siasa. Neymar na Mbappe wamefanywa kama mamasihi wakati wote bado ni wachezaji wakawaida tu.
Tatizo kubwa linalowala PSG ni poor transfer. Neymar hakuhitajika kwenye timu yao, Sisemi kama Neymar nimchezaji mbovu bali kwa timu yao hawakua wakimuhitaji, Walifanya usajili wakishabik zaidi. Walihitaji central defender wa nafasi ya Silva, Walihitaji Defending midfield wa kumkava Motta pamoja Backup striker wa Cavani. Pesa ya Neymar ingetumika kutatulia matatizo hayo amabayo ndiyo yaliokua yanawasambua basi mambo yangelikua mengine saivi.
Di maria serius jamaa ni chance creater, Jamaa anatia michuzi ya uhakika na hapo ndipo utakapomuona Cavani anavojitwika vichwa.
PSG in wachezaji wenye vipaji wengi sana. Di maria, Cavani, Pastore, Veratti, Draxler, Mbappe. Lakin tatizo kubwa wote wanashindwa kupata uhuru wa kutosha wa kucheza mpira kwasababu ya Neymar, Mipira yito inalazimishwa apewe yeye Kila kitu anataka afanye yeye mpaka Penalty, free kick, Corner.
Wengi wap ni mashabiki wa Barcelona mkuumnaomlaumu neymar, hivi mnaijua madrid?
emery kazidiwa umaarufu na neimarHuyu kocha hafai kabisa. Dawa ilikuwa moja tu,,Kipindi cha pili wangelimtoa neimar wakamuingiza DI MARIA mapafu ya mbwa. Alafu Cavani wasingemtoa.