Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
bwana wee,nyuzi za siku hizi acha tu.Hiyo sheria ya sasa inasemaje?
hii hbari umeitoa wapi?Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.
Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambalo unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.
FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.
View attachment 2901642
Hawa madogo wakisinuliana story kwenye mabanda ya mpira mwananyamala huko wanakuja kutudanganya hadi sisi , sio poa kwakweli sio poa kabisaabwana wee,nyuzi za siku hizi acha tu.
Neymar hata robo hafiki kwa Gaucho. Sema tu kuwa wakati Gucho wakati anacheza ulikuwa unatambaaNamkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake...
Nimejiunga JF 2012 unaniita dogo! Uwe na adabu.Hawa madogo wakisinuliana story kwenye mabanda ya mpira mwananyamala huko wanakuja kutudanganya hadi sisi , sio poa kwakweli sio poa kabisaa
Nimeitoa duniani, nimeleta JamiiCheck kupata ufafanuzi zaidi.hii hbari umeitoa wapi?
sheria ya sasa inasesmaje?
UJUMBE : Madogo wa Mwananyamala mjirekebishe.Hawa madogo wakisinuliana story kwenye mabanda ya mpira mwananyamala huko wanakuja kutudanganya hadi sisi , sio poa kwakweli sio poa kabisaa
Tuweke takwimu.Neymar hata robo hafiki kwa Gaucho. Sema tu kuwa wakati Gucho wakati anacheza ulikuwa unatambaa
Mwananyamala Msisiri B karibu na shule pale watoto wote wameacha shule wanabeti tu.UJUMBE : Madogo wa Mwananyamala mjirekebishe.
Daah ππππ wanajifanya wachambuz wa odds sio ahahaha mitaa mibovu kwa malezi ya watoto ile acha kabisaaMwananyamala Msisiri B karibu na shule pale watoto wote wameacha shule wanabeti tu.
Jioni kwa dula bonge pale wanakula viepe na prons, kuna kijana mmoja anaitwa Rama anaendesha ligi uwanja nmbele ya shule ya Msingi Msisiri B, watoto bangi sana.Daah ππππ wanajifanya wachambuz wa odds sio ahahaha mitaa mibovu kwa malezi ya watoto ile acha kabisaa
Sawa mkuu sasa kwanini kwenye taarifa yako hakuna sehemu uliouliza nimesoma kila kitu ni kama taarifa ilokamilika mkuu au nasema uwongo ?Nimejiunga JF 2012 unaniita dogo! Uwe na adabu.
Tukirudi kwenye mada; Nimeileta jukwaa husika ili kupata ufafanuzi zaidi, huwezi kujua kila kitu.
Ahahaha ila kule kiboko, watoto wa mwananyamala kiwanja chao ni masaai pale sijui siku ila kukiwa na kigodoro ukipita pale aloo ni hatari sana sana masta, simu weka mfukoni na pita mbali yao kabisaaJioni kwa dula bonge pale wanakula viepe na prons, kuna kijana mmoja anaitwa Rama anaendesha ligi uwanja nmbele ya shule ya Msingi Msisiri B, watoto bangi sana.
Wanahitaji maombi ya mfungo, hata polisi ule mtaa huwa hawafiki.
Mhukumu kabisa huyu mh jaji wa mahakama ya JF.!hii hbari umeitoa wapi?
sheria ya sasa inasesmaje?
Sawa mkuu sasa kwanini kwenye taarifa yako hakuna sehemu uliouliza nimesoma kila kitu ni kama taarifa ilokamilika mkuu au nasema uwongo ? Sasa basi nakwambia sheria ya penati haiwez badilishwa sababu ya mtu mmoja huwa wanafanya research ya wachezaji wengi tu , zimefanyika amendments nyingi za sheria ya penati na nyingine zimefanyika baada ya kombe la dunia kuisha mkuu, au nasema uwongo ? Nenda kasome sheria ya zaman ya penalty ya FIFA alafu usome sheria mpya utaona sehemu zilizobadilishwa mfano kwenye sheria mpya kuna sehemu FIFA wanasema goli kipa haruhusiwi kushikashika nyavu, kubusu post zile za goli na kuleta makeke ya staili hiyo sababu kimsingi penalty ni kama inaenda kumfeva mpigaji moja kwa moja so kufanya hivyo ni kumdhikaki na kumrubuni mpigaji ili akose na mpira hautaki udanganyifu wa namna hiyo mkuu kasome hizo sheria uje hapa tena tudiscuss mkuu sisi wengine mpira upo damuni
Haka kastori kamekosa nyama ...Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.
Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambao unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.
FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.
Tulia sasa nyama utazikuta chini.Haka kastori kamekosa nyama ...
Ila kazur kwa kupotezea mda kijiwen..!