Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

Neymar vs gaucho.. Ukweli ni neymar ana udambwi dambwi mwingi, ila football in general gaucho ni bora zaidi neymar.
Neymar udabwi dabwi unazidi kiasi anatoka kwenye msingi wa football, sehemu ya kuachia mali ataing'ang'ania matokeo yake anaigharimu timu. Ni kama fundi jay jay okocha vile.
Gaucho kwake basic kwanza sehemu ya pasi atapiga pasi kwa kuiremba, iwe rabona, no look pass lakini atafanya jambo lile la msingi.
 
Niulize ili iweje? Taarifa niliyonayo ni hiyo, kama nimeingiza watu chaka itathibitishwa na JamiiCheck.

Nimejaribu kuchimba kidogo nimepata hili desa, labda nao ni waongo kama mimi.

View attachment 2901937
Huyu ni Lucas von Cranach ye anatafuta tu traffic kwenye website yake masta, hakuna ukweli wowote alianzisha onefootball 2008, juz hapa 2023 kastep down kama CEO ya hiyo website ya sports statistics na live streaming, anatafuta tu viewers na live streamers kwenye website yake, hakuna lolote mzee na nlihisi tu utaleta hii website ya huyu mjerumani
 
Mkuu hiyo 2010 neymar dunia haina hata habari nae, bado yupo santos, neymar kaenda barca 2013 kama sikosei.
Dunia gani unayoizungumzia! Umahiri wake ulisababisha mwaka 2011 awe shortlisted Ballon D' Or tena akiwa anacheza nje ya Ulaya. Usimchukulie poa Neymar.
 
Mkuu hiyo 2010 neymar dunia haina hata habari nae, bado yupo santos, neymar kaenda barca 2013 kama sikosei.
Yaaah ni 2013 na game yake ya kwanza ilikuwa august 18 ambayo ndio match yake ya kwanza na barcelona aliingia dakika ya 63 au 64 alimreplace Alexis Sanchez ambapo barcelona alimshindilia Levante 7-0 Barcelona ya moto sana hiyo…..
 
Dunia gani unayoizungumzia! Umahiri wake ulisababisha mwaka 2011 awe shortlisted Ballon D' Or tena akiwa anacheza nje ya Ulaya. Usimchukulie poa Neymar.
Hapo umetajwa mwaka 2010 we unanitajia 2011 wapi na wapi?
 
Yan neymar amzd gaucho? Hili taifa lina majtu majinga majinga sn wacha akna makonda wawadanganye tu waendelee kupga keki ya taifa na family zao.
 
Wewe ni dhairi hukumuona kabisa Ronaldinho akiwa kwenye prime yake... Kaa kimya
 
Ona sasa mkongwe mwenzangu umeishia kuitwa dogo. Gaucho usimfafanishwe na huo upuuzi
 
Hujamuona Gaucho wewe katka ubora wake!Neymar hamfikii hata robo
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.

Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambao unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.

FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.

 
Teh teh teh, Mitoto ya Mwananyala ipo kama 'mtoto Iddi' aliyeimbwa na Juma Nature.... mitoto ni Mitukutu haisikii..! Au 'Selemani' yule aliyeimbwa na Mboso
 
Back
Top Bottom