makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mkuu hiyo 2010 neymar dunia haina hata habari nae, bado yupo santos, neymar kaenda barca 2013 kama sikosei.Niulize ili iweje? Taarifa niliyonayo ni hiyo, kama nimeingiza watu chaka itathibitishwa na JamiiCheck.
Nimejaribu kuchimba kidogo nimepata hili desa, labda nao ni waongo kama mimi.
View attachment 2901937
Huyu ni Lucas von Cranach ye anatafuta tu traffic kwenye website yake masta, hakuna ukweli wowote alianzisha onefootball 2008, juz hapa 2023 kastep down kama CEO ya hiyo website ya sports statistics na live streaming, anatafuta tu viewers na live streamers kwenye website yake, hakuna lolote mzee na nlihisi tu utaleta hii website ya huyu mjerumaniNiulize ili iweje? Taarifa niliyonayo ni hiyo, kama nimeingiza watu chaka itathibitishwa na JamiiCheck.
Nimejaribu kuchimba kidogo nimepata hili desa, labda nao ni waongo kama mimi.
View attachment 2901937
Dunia gani unayoizungumzia! Umahiri wake ulisababisha mwaka 2011 awe shortlisted Ballon D' Or tena akiwa anacheza nje ya Ulaya. Usimchukulie poa Neymar.Mkuu hiyo 2010 neymar dunia haina hata habari nae, bado yupo santos, neymar kaenda barca 2013 kama sikosei.
Huwa hawachukui muda, naamini watakuwa jikoni JamiiCheckJamii check hawajajibu bado?
Yaaah ni 2013 na game yake ya kwanza ilikuwa august 18 ambayo ndio match yake ya kwanza na barcelona aliingia dakika ya 63 au 64 alimreplace Alexis Sanchez ambapo barcelona alimshindilia Levante 7-0 Barcelona ya moto sana hiyo…..Mkuu hiyo 2010 neymar dunia haina hata habari nae, bado yupo santos, neymar kaenda barca 2013 kama sikosei.
Ngoja tuwasubiriHuwa hawachukui muda, naamini watakuwa jikoni JamiiCheck
Hapo umetajwa mwaka 2010 we unanitajia 2011 wapi na wapi?Dunia gani unayoizungumzia! Umahiri wake ulisababisha mwaka 2011 awe shortlisted Ballon D' Or tena akiwa anacheza nje ya Ulaya. Usimchukulie poa Neymar.
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake.
Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati ambao unachukuliwa kama wa udanganyifu ambapo alikuwa akitishia kama anapiga, kipa akienda upande fulani basi Neymar humalizia kwa kupiga upande mwingine tofauti na kipa aliporukia.
FIFA iliona siyo sawa hivyo ikaamua kubadilisha sheria ya upigaji wa penati ambayo inatumika mpaka sasa.
😁😁 Hadi sasa wamefika wawili, Kuna huyu na Mwingine anajiita MjanjaHawa madogo wakisinuliana story kwenye mabanda ya mpira mwananyamala huko wanakuja kutudanganya hadi sisi , sio poa kwakweli sio poa kabisaa
Mzee Gaucho weka mbali na watotoNeymar hata robo hafiki kwa Gaucho. Sema tu kuwa wakati Gucho wakati anacheza ulikuwa unatambaa