Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

782,000*3000tsh = 2,346,000,000 tsh (bilioni mbili na milioni mia tatu na 46)

Kwa kifupi ni ela ambayo magufuli aliitoa kwa wizara ya kilimo mwaka jana!! yaani mwaka mzima katoa hiyo alafu kuna chalii anangiza pesa hiyo hiyo kwa wiki!!

Salio kwanza ufalme baadae .. BIG UP Neymar
 
Alikuwa anapata ngapi Barca??. £728000 kwa wiki ikiwa ni mkataba na £42 mil cash so mchezo hiyo mkubwa. Kwa hiyo anaenda kuimarisha KAMPUNI na brand yake. Transfer saga pekee imekuza sana brand yake mara dufu. Na ipo possibility kusikia baada ya miaka 2 anaenda Real Madrid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neyma ni entertainer akiwa uwanjani na ana mvuto kwa mashabiki kuliko mchezaji yeyote kwa sasa ukimwacha Chris na Mesi, atavutia wawekezaji wengi PSG. Hakuna aliyepata hasara hapo.

Unadhani kwa nini footbal association ya Spain walikuwa hawapendi hii deal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nipo kati kati. neymar ni brand kubwa ndio ila PSG sio. timu ina mchango mkubwa sana kwenye kumpatia hela mchezaji sababu binadamu tunapenda sana kununua vitu kwa ushabiki.

mfano mzuri muangalie bastian na memphis depay, walikuwa ni wajinga wajinga tu kwenye biashara, lakini ghafla walivyokuja man utd wakabadilika,

kwenye mauzo ya jezi kidunia depay akawa watatu na bastian akawa wa nne, sasa jiulize depay na bastian wanastahili kuuza jezi kulika neymar, hazard, aguero, sanchez, suarez, bale, na masuper star wengine? jibu nafkiri unalijua

hivyo hapo unaona mchango wa timu kwenye kumuuza mchezaji na kumpa umaarufu na hela.

sitashangaa kwa mshahara wote huo lakini still akaja akapitwa kwenye hela na wachezaji wengine ambao watapata hela zaidi.
 
BARCA walimuonyesha dharau kubwa na kuonyesha kwamba wanawathamini wale wengine wawili kuliko yeye. Sasa kaamua kufanya kweli, imekula kwa BARCA.
 
Neyma kaniuma jamanii,,ila acha aende nae awe maradufu sio kila siku ronaldo tu
 
Mbona hujatoa Credit pale ulipoitoa hii Article?

Umeifannya kama umeandika wewe
 
Jiweke kwenye nafasi ya Neymar,ndo uandike.Mwache kila mtu anaim kuwa na big future,huwezi jua future imemuandalia nini.Kila lenye kheri kwake.
 
BARCA walimuonyesha dharau kubwa na kuonyesha kwamba wanawathamini wale wengine wawili kuliko yeye. Sasa kaamua kufanya kweli, imekula kwa BARCA.
Huko Spain wamemind kweli,acha Neymar aende huwezi jua kesho imemuandalia nini.Atashaini tu.
 
Hiyo hela hata kama wakiwekewa Chadema na CCM ili wavunje chama hawawezi chomoa ...

Shikamoo Pesa

Sent From My Nokia Ya Tochi
haaaa,haaa mkuu nimjekta nacheka katikati ya mada ,sijui umefikiria nini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…