Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

Tatizo wabongo wajuaji sana....mtoa mada maisha yako yote hapa duniani akaunti yako bank haitakuja kusoma salio sawa na mshahara wa Neymar kwa wiki moja,funny enough unamzodoa kwa maamuzi yake juu ya fani yake na kipato chake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta mada n fala tu
Wa kawaida ukiamka,nawa
Uso ndo uingie jf

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hii article nimeiona huko fesibuku...muwe mnatoa credit!
 
Haaa haa eti umemshauri kua bora angeenda Manure...[emoji23][emoji23] labda kama kutimiza ya kua mfalme wa kuuza jezi ila ufalme wa soka siku hizi haupatikani pale Manure yaani awe mfalme kwa kubeba EFL na YUROPA duh ni bora amefuata sarafu PSG kuliko wehu wa kwenda Manure maana hata UCL wanaenda kwa kuvizia.
Kila la heri Neymar kacheze soka mafanikio yako yapo miguuni mwako kama ni ufalme iko wazi hapo Barca hata ungebaki isingesaidia wanasema ligue 1 ni dhaifu na mambo kibao nenda kaifanye kua bora ndio ilivyo lazima kuwe na mtu wa kwanza.
 
Kweli Neymar angeenda kuwa mfalme km ilivyosema mwisho wa CR7 na MESSI zinaenda ukingon,km angebak Barca kwel Neymar angekuwa bonge la mfalme ktk la liga,ila kitendo cha kwenda PSG labda ni kibiashara zaid si kutegemea kuwa mfalme wa soka dunian km akina CR7 na MESSI.

Ngoja tusubir tuone ufalme wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka mitano ijayo dogo atakuwa na 30. SIJUI UNANIELEWA?
Pale barca lazima awe nyuma ya messi na umri unaenda, ukizingatia hujui kesho yako. Pale hawezi kuwa mfale mbele ya king leo SIJUI UNANIELEWA?
Kwenye mpira wa sasa ni kupata muda wa kucheza, kupata vikombe na mkwanja, angalia madogo kama kina lukaku wanavyogoma kukaa benchi, sababu ni nini? Wanataka wacheze na waache legacy, kama unajitambua utaitafuta kwa njia yoyote SIJUI UNANIELEWA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi unakadi number ngapi ya Barca
pili Pesa kitu nyingine brother

Kwanini tuna watu kama milioni hamsini na hatuwezi kuipa dunia mtu kama Neymar,, Messi au George Weah , Didier Drogba, Yaya Toure au Kalusha Bwalya. Senegal, Ivory Coast, Mali Ghana na Cameroon wana wana wananchi wadogo kuliko sisi, lakini kila mwaka wanaipa dunia wachezaji wazuri kabisa. Tatizo nini kwetu?
 
Kikosi bora cha barca kwa sasa kinaelekea kufa angalia umri wa wachezaji kina mesi suarez etc.Jamaa kasepa kakwepa lawama ameenda kweny club yenye kiu na mipango kuliko barca.Saivi Madrid kwa laliga ndo inanguvu na itachkua muda kupotea kama miaka kadhaa ilopita.

Neymar kafanya uamuzi wa busara kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesajililiwa kwa dau La billion 500 ambapo atakua analipwa million 220 kwa siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Mkuu,

Moja ya udhaifu wa redio nyingi katika vipindi vya mchezo huwa hawa ibadilishi fedha hiyo katika fedha ya kitanzania.


Sasa huwa nashindwa kuwaelewa wanadhani watu wote wanauelewa wa thamani ya fedha za kigeni,kumbe sio.


Hili inatakiwa walifanyie kazi..kwangu Mimi hizi (£,€ $)kidogo nipo na ulewa wa kutosha.
 
Yaezekana hujui ulisemalo ndugu! Pale Barcelona, Neymar ameisha maliza makombe yote, acha aangalie kiwanja kipya tena kwa mkwanja uliovunja rekodi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…