Neymar Jr kipaji cha soka kilichoshindwa kufikia malengo

Neymar Jr kipaji cha soka kilichoshindwa kufikia malengo

KWANGU MIMI NEYMAR NI MCHEZAJI WA KAWAIDA MNO, NI MCHEZAJI MDOGO MWENYE MBWEMBWE NYINGI ASIYE NA KIPAJI.

Amejaa ujanja ujanja mwingi , kuumia na kuanguka kila siku.

Neymar ameihadaa sana Dunia.

MCHEZAJI GOIGOI.
Dogo Anajua Soka Ukiachana Na Mambo Yake Mengine
 
KWANGU MIMI NEYMAR NI MCHEZAJI WA KAWAIDA MNO, NI MCHEZAJI MDOGO MWENYE MBWEMBWE NYINGI ASIYE NA KIPAJI.

Amejaa ujanja ujanja mwingi , kuumia na kuanguka kila siku.

Neymar ameihadaa sana Dunia.

MCHEZAJI GOIGOI.
Naungana nawe
 
Neymar ana kipaji,ila tatizo alikuwa na mambo mengi nje ya uwanja na mwisho kabisa majeraha yamemaliza career yake
 
Huenda yy mipango yake kafanikiwa.
Hayo ya wapenda soka ni ya kwetu mchezaji nae ana mipango yake.
Uko vizuri.Lengo ni kupata pesa.maana mpira ni ajira kama zingine.Mtu ana mihela kibao tunamuanzishia hadithi zisizo na maana kwasababu ya mitazamo yetu wakati yeye anakula maisha soka limemlipa.
 
Huna akili kwani yeye ameshakwambia malengo yake?
Kila mtu na Maisha yake, usimpangie cha kufanya.
 
Kafeli kivipi wakati.

1. Ni mfungaji bora wa wakati wote wa timu ya Taifa ya Brazil.
2. Ana ubingwa wa champion league na ubingwa wa Hispaniola.
3. Ana ubingwa wa ligi ya ufaransa.
4. Ana ubingwa wa Brazil akiwa na Santos.

Sasa unataka awe kama Messi ndo uone kafanikiwa?
 
Uko vizuri.Lengo ni kupata pesa.maana mpira ni ajira kama zingine.Mtu ana mihela kibao tunamuanzishia hadithi zisizo na maana kwasababu ya mitazamo yetu wakati yeye anakula maisha soka limemlipa.
Sure mtu anakuja na ngonjera etii mpira hajautendea haki.

Sisi mpira burudani.

Kwa wachezaji mpira ni ajira.

Pesa kwanza. Legacy hailipi bili.
 
Kilichomponza ni ubishoo mwingi hakuwa na nidhamu na kazi na alikuwa kama vile hajui ni nini anatafuta.
 
Back
Top Bottom