Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali mkuuDiscipline ni msingi WA Mafanikio yoyote ....Neymar ana kipaji ila Hana nidhamu ya Yale anayofanya mfano Ronaldo ni wakawaida Sana sasa hivi ila ana discipline ya kufanya mazoezi na kupambana hilo ndilo linalomweka sokoni mpaka sasa