Dogo Anajua Soka Ukiachana Na Mambo Yake MengineKWANGU MIMI NEYMAR NI MCHEZAJI WA KAWAIDA MNO, NI MCHEZAJI MDOGO MWENYE MBWEMBWE NYINGI ASIYE NA KIPAJI.
Amejaa ujanja ujanja mwingi , kuumia na kuanguka kila siku.
Neymar ameihadaa sana Dunia.
MCHEZAJI GOIGOI.
Naungana naweKWANGU MIMI NEYMAR NI MCHEZAJI WA KAWAIDA MNO, NI MCHEZAJI MDOGO MWENYE MBWEMBWE NYINGI ASIYE NA KIPAJI.
Amejaa ujanja ujanja mwingi , kuumia na kuanguka kila siku.
Neymar ameihadaa sana Dunia.
MCHEZAJI GOIGOI.
Mkuu secretarybird hata mimi nilikuwa najua Numbisa ni KESasa kwa nini unajifanya KE.
Mwanaume mtupu tena mchambuzi mahiri wa soka!!!
Mkuu secretarybird hata mimi nilikuwa najua Numbisa ni KE
Kumbe ni dume tena la mbegu🤣Mkuu secretarybird hata mimi nilikuwa najua Numbisa ni KE
Noma Sana.Duh aiseee
Samahani mkuuAcha kumsakama demu wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe goi goi anaweza kuihadaa Dunia wewe genius umeshindwa ata kuuhadaa mtaa. Ukawa Tajiri.
Kumbe ni dume tena la mbegu
Uko vizuri.Lengo ni kupata pesa.maana mpira ni ajira kama zingine.Mtu ana mihela kibao tunamuanzishia hadithi zisizo na maana kwasababu ya mitazamo yetu wakati yeye anakula maisha soka limemlipa.Huenda yy mipango yake kafanikiwa.
Hayo ya wapenda soka ni ya kwetu mchezaji nae ana mipango yake.
Sure mtu anakuja na ngonjera etii mpira hajautendea haki.Uko vizuri.Lengo ni kupata pesa.maana mpira ni ajira kama zingine.Mtu ana mihela kibao tunamuanzishia hadithi zisizo na maana kwasababu ya mitazamo yetu wakati yeye anakula maisha soka limemlipa.
Wa hivi wengi ni mchicha poriSasa kwa nini unajifanya KE.
Mwanaume mtupu tena mchambuzi mahiri wa soka!!!
Yeah, na ni watamu haswa.Wa hivi wengi ni mchicha pori