Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 2, 2025 #41 Pole yake sana... Cc: Mahondaw
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Feb 2, 2025 #42 Mess na Ronaldo ni gifted ambao huzaliwa kila baada ya miaka 50 Kuangalia failures za Neymar na kumfananisha na hao GOAT ni kukosea sana Yeye kapambana na kaishia hapo peak yake so he has nothing to offer amefika climax
Mess na Ronaldo ni gifted ambao huzaliwa kila baada ya miaka 50 Kuangalia failures za Neymar na kumfananisha na hao GOAT ni kukosea sana Yeye kapambana na kaishia hapo peak yake so he has nothing to offer amefika climax
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 4, 2025 Thread starter #43 Mundele Makusu said: Discipline ni msingi WA Mafanikio yoyote ....Neymar ana kipaji ila Hana nidhamu ya Yale anayofanya mfano Ronaldo ni wakawaida Sana sasa hivi ila ana discipline ya kufanya mazoezi na kupambana hilo ndilo linalomweka sokoni mpaka sasa Click to expand... Nakubali mkuu
Mundele Makusu said: Discipline ni msingi WA Mafanikio yoyote ....Neymar ana kipaji ila Hana nidhamu ya Yale anayofanya mfano Ronaldo ni wakawaida Sana sasa hivi ila ana discipline ya kufanya mazoezi na kupambana hilo ndilo linalomweka sokoni mpaka sasa Click to expand... Nakubali mkuu