Mimi glu napenda ile lafudhi yake sasa ππhua nacheka tu nikimwangalia. Illumination kwa muvi bomba wapo vizuri sana..You have been a bad boy glu [emoji23]
Naondoa stress humu maana zipo kama tani kadhaa..Dah! Sawa tufanye umeshinda leo unamichambo utafikiri umekula pilipili hoho na uji..π
Ngoja nikutoe tongotongo mfano hiyo the Martian ukiiangalia ni sci fiction lkn ni kama wameakti ktk uhalisia hakuna ma dude sijui kimetokea kibwengo gani.. hiyo contact utajifunza na kuiangalia lugha ktk jicho latofauti!.. katazame tusibishane sana sisi ni waangaliaji tu.. hicho ni kama chakula wewe unapenda kilichotiwa madikodiko sana mimi Hilo hapana Bora wanidanganye walau nusu lkn nusu nyengine iwe afadhari..
Glu n another Case aaseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi glu napenda ile lafudhi yake sasa [emoji23][emoji23]hua nacheka tu nikimwangalia. Illumination kwa muvi bomba wapo vizuri sana..
Mama look I've made a rocket, Eeeeeeh. Kila kitu eeeh baadae akawaprove wrong the bank of evil.
Ushacheki Home?
Hahah Alita nilishaiangalia!Download Alita the battle angel utaipenda nakwambia
Hizo zote kama ni 10/10 nazipa 7/10Bodyguard vs Assassin unaipa ngapi
Sasa kupitia ile familia ya dingi yuzazifu nakuamrisha Mimi kama Kaka yako utaangalia tu hata kwa mjeledi na lazima uzishabikie I we unataka au hautaki..πNaondoa stress humu maana zipo kama tani kadhaa..
Bwana bwana muvi zinazohusu masuala ya space hua sitizami nilikua na series hzo nikafuta kabisa.
Yaani wakudangaye nusu wakati kila kitu kipo studio ww unaona upo mars kabisa. Hell no, ndo yale ya superman kupigwa kipande cha reli hata hachubuki.
Mkuu nimerejea mafile kumbe inaitwa Super bodyguard au Iron protectorThanks hebu niwekee cover yake hapa
Itafute uangalie mkuu mimi binafs nimeiona iko poa, kila mtu ana mtizamo wakeDaah unanikatisha tamaa nilitaka nidownload mulan kumbe hamna kitu
Shemejio kanipiga kibuti sina amani naondoa stress na animation hiziSasa kupitia ile familia ya dingi yuzazifu nakuamrisha Mimi kama Kaka yako utaangalia tu hata kwa mjeledi na lazima uzishabikie I we unataka au hautaki..π
Kaangalie hizo muvi haraka ilasivyo mboko mbokoni..π
Kwaheri ndugu lkn kama anakujakuja hivi.. avatar yake si alikuwa kaweka emoj..?Afadhali hukumbuki maana nitazidi kuumia bure
No usinitafutie nature ilinikutanisha nae na anakila kitu nachohitaji ndio maana namkumbuka tu. Naamini nae kanihamu huko alipo. Nature naona sasa imeamua kututenganisha so itaniletea mwingine kama ilivyoniletea yeye.Pole sana dah! Ndo maana simuoni na nisingemkumbuka kama nisingeamsha bongo yangu.. tafuta mwengine au Kama vipi nikupointie...
Naona unamatumaini ya kurudiana!.. si mbaya ila wacha nature iseme nawe mkijirudi itakuwa vyema pia maisha ndo hayahaya..No usinitafutie nature ilinikutanisha nae na anakila kitu nachohitaji ndio maana namkumbuka tu. Naamini nae kanihamu huko alipo. Nature naona sasa imeamua kututenganisha so itaniletea mwingine kama ilivyoniletea yeye.
(Ana id nyingine ila siijui so anatuchora hapa)
Haina uhalisia jamaa anapigana na watu million laki πππRise of the legend movie ya ovyo kabisa kuwahi kuiona! Hapo nilipoteza muda
Yani ile movie hawakuiona kama nikituko wakati wanaipitiaπππ... kwanza hata story yake sikuielewa kabisaHaina uhalisia jamaa anapigana na watu million laki πππ
Najua ulijitetea kama umekutwa ukidokoa mboga..πYupo anakusoma bika shaka..She was like, kwahiyo ndio umenishtaki?
Si unajua mi ni tomaso! Siamini mpk aweke ka ishara ka ku alert..Ni mwelewa uzuri. Nilimwambia kila kitu