Nezha: Legend of deification

Hahaaaaa... Huwezi jua id yake
Unafikiri nataka kuijua..? Mi Hilo sijui nachojua nione ishara yake tu hata.. na mi najua we si muhubiri hivyo sitarajii ulete maneno mengi kwenye hili.. only that..๐Ÿ˜œ
 
MNA moyo kweli kuangalia vimbwengo vinapaa Mara MTU anaenda mbinguni bila tiketi ya kifo..!

Music is a real deal
 
Nawezaje kuzipata hizi zikiwa na subtitles za English?? Coz siwezi angalia movie bila subtitle.
Nazipataje mkuu especially hiyo ya Samo Hung
 
Nawezaje kuzipata hizi zikiwa na subtitles za English?? Coz siwezi angalia movie bila subtitle.
Nazipataje mkuu especially hiyo ya Samo Hung
It's very simple kuna zingine hua zinakuja direct nasubtitle za kichina na english. Kama hamna tembelea Opensubtitles au Yts subtitles unaweza pata
 
Disney ina worthy 150B USD mulan budget yake ni 200m USD mpaka sasa wana 66.8m USD kwenye box office ni kitendo cha muda tu hiyo hela inarudi .
 
Disney ina worthy 150B USD mulan budget yake ni 200m USD mpaka sasa wana 66.8m USD kwenye box office ni kitendo cha muda tu hiyo hela inarudi .
Jamaa kila kwenye pesa ananunua hataki mshindani kabisa. Pixarwalikua wamekuja vizuri sana kwenye animation, kawanununua fadta Lukasfilm na Marvel fasta kawachukua. Mulan ata sio nzuri acha wapige mzinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ