black-tz
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 120
- 174
USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" š„² AU WATUMIA š INFINIX okay
NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication)
NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4ā10).
Inatumika wapi?
Kufanya malipo (e.g. Google Pay, Apple Pay)
Kusambaza data haraka (contacts, files)
Electronic tickets & cards (train, access badge, etc.)
Kuchanganya apps na automation (via NFC tags)
---
Sasa Hatari Inaanzia Hapa ā Kwa Hackers:
1. NFC Skimming (Data Theft)
Hacker mwenye simu au device yenye app ya skimming anaweza kupita karibu yako na "kusoma" card yako ya malipo iliyo na NFC bila wewe kujua.
Hii ni kama ATM skimmer ā lakini angani.
---
2. NFC Tag Injection
Hacker anaweza kuweka NFC tag (invisible) sehemu kama mlangoni, benchi au meza.
Ukiguza kwa bahati mbaya, inaweza:
Kukuelekeza kwa link ya phishing
Kufungua malware download
Kudump credentials au tokens za app zako
---
3. App Spoofing / Command Execution
Unaweza wekwa NFC tag iliyoprogram kufungua apps kama wallet, wifi settings, au hata kuitumia kufanya automation ya SIM swapping tricks.
---
4. Malipo ya Uongo (Relay Attacks)
Wanaweza ākuongeza rangeā kwa kutumia relay attack devices
Card yako ya benki inavyobebwa mfukoni ā data inasafirishwa live kwenda kwa hacker remote
---
Ushahidi wa Real-World Hacks
2015: Watafiti walionyesha jinsi ya kutumia NFC kuiba card info kutoka kwa watu waliopitia mall
2019: Waliweza kufungua mlango wa electronic hotel room kupitia NFC exploit
2021: Hata access badge za government ziligushiwa kwa NFC cloning