NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

Joined
Aug 21, 2023
Posts
7
Reaction score
15
Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860.

Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ndiyo kipindi muafaka cha maandalizi.

Tunaiomba sana Serikali ikisikie kilio chetu kwani tunakwamishwa kufanya maandalizi.
 
Kwani kuna ambao bado hamjalipwa? Mbona watu walikua wakipeleka tu wanalipwa
 
Back
Top Bottom