NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
20220202_154437.jpg


Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite.

Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k

Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na uwakilishi wa daraja. Jina Tanzanite lakini nembo iliyowekwa Mwenge. Zilongwa mbali zitendwa mbali...

20220202_154451.jpg


Hii ni tafsiri kuwa jina lilikuja baada ya project kuanza au hakukuwa na mawasiliano kati ya msanifu na watoa kazi (Serikali)

Hiki ni kihoja, au nasema uongo ndugu zangu? Imenishangaza KWERI KWERI
 
Nauchukia sana mwenge. Huwa naona kama ni alama ya wakomunisti au ujamaa itikadi ambazo hazijawahi kumsadia mwanadamu.

Hiyo alama utadhani tupo kwa Kim Jon Un
Au ndio uchawi wa nchi?
 
Ni juhudi za makusudi kufuta legacy! Ilikuwa pawekwe kitu umbo ls tanzanite
 
KHizo pillars zinamuonekano wa tanzanite..finito
 
Inaelekea Serikali inahitajidi kufanya kazi naona malalamiko yamekua katika petty issues
 
Tanzanite na Daslaam wapi na wapi? Lingeitwa Tambaza,Kibasila,Bibi Titi,Dosa Azizi Ali,Kawawa,Zaramo Bridge,Upanga,KK n.k

Tanzanite inafaa kuwepo Manyara huko.
 
Tanzanite na Daslaam wapi na wapi? Lingeitwa Tambaza,Kibasila,Bibi Titi,Dosa Azizi Ali,Kawawa,Zaramo Bridge,Upanga,KK n.k

Tanzanite inafaa kuwepo Manyara huko.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom