Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Kibiblia amelaaniwa yule anayekimbiza moto so hata taifa la Tanzania ni la laana tu hamna kitu.Nauchukia sana mwenge. Huwa naona kama ni alama ya wakomunisti au ujamaa itikadi ambazo hazijawahi kumsadia mwanadamu.
Hiyo alama utadhani tupo kwa Kim Jon Un