NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

Acha ikae hivyo.
 
Hizo za chini ya daraja mbona kama mbao??
 
Hii sio render mkuu, huu ni mwenge kwenye real thing.

Hii ni picha halisi kabisa...nimefanya kuzoom tu mwenge uonekane...wameujenga kama walivyoonesha kwenye render
 
Tanzanite na Daslaam wapi na wapi? Lingeitwa Tambaza,Kibasila,Bibi Titi,Dosa Azizi Ali,Kawawa,Zaramo Bridge,Upanga,KK n.k

Tanzanite inafaa kuwepo Manyara huko.
Mabadiliko muhimu...


Majina hayo kwa hayo tu ili iweje?!

Muhimu lipo..

Lingeitwa .. ...darcity..pia sio vibaya..
 
Umeandika upuuzi mtupu
 
Mkuu usishangae. Hiyo ni ishara ya uwezo mdogo wa mawazo walio nao wafanya maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…