NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

Nauchukia sana mwenge. Huwa naona kama ni alama ya wakomunisti au ujamaa itikadi ambazo hazijawahi kumsadia mwanadamu.

Hiyo alama utadhani tupo kwa Kim Jon Un
Kibiblia amelaaniwa yule anayekimbiza moto so hata taifa la Tanzania ni la laana tu hamna kitu.
 
Tanzanite na Daslaam wapi na wapi? Lingeitwa Tambaza,Kibasila,Bibi Titi,Dosa Azizi Ali,Kawawa,Zaramo Bridge,Upanga,KK n.k

Tanzanite inafaa kuwepo Manyara huko.
Hayo majina kuna mzee humu ndani utakuwa umemfariji sana kuyataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…