Ngano ni nafaka hatari sana

Ngano ni chakula cha kale zaidi kimetumiwa maelfu ya miaka bila shida yoyote ile, Ngano na maziwa husababisha binadamu kuwa na akili nyingi za kushangaza, bali ulaji wa mihogo huondosha akili,fanya tafiti.
Hata yesu alikula mkate wa ngano
Hiyo siyo sababu. Yesu angezaliwa China angekula wali.
 
Mnaokoteza habari mitandaoni, bila kuzisoma vizuri kisha mnakimbilia kuja kuanzisha nyuzi zenye taarifa zisizo sahihi. Acha nikurekebishe.

Si kila mtu ana allergy na gluten, kwa hiyo ngano haiwezi kuwa hatari kwa kila mtu. Itakuwa hatari tu kama mwili wa mtumiaji utakuwa na mzio na component/compound angalau moja iliyopo ndani ya ngano au kitu kingine chochote, mfano sabuni, manukato, n.k.
 
Mfanyakazi wa Azam au Mo ndo anaweza kuandika vitisho hivi.

Bana tuache sisi tusipokula ngano ndo tunatembea kama tumelewa
 

Nadhani hapa kuna haja ya ku-moderate contents. Kuna watu wana allergy na protini aina ya gluten, ambayo hupatikana kwenye ngano.

Hivyo, tuwe makini tunapotumia vyakula vitokanavyo na ngano.
Ukitumia na unapata tatizo lolote, pata ushauri wa kiafya au achana na vitu husika.
 
Kama ni hivyo, basi Wazungu ni waathirika namba moja.
 
Ndiyo maana nikaweka hapo kuwa ni kama 2% ya watu ndiyo husumbuliwa na Gluten.
 
Ndiyo maana nikaweka hapo kuwa ni kama 2% ya watu ndiyo husumbuliwa na Gluten.

Tatizo ni maelezo yako kuwa general nso yanaleta taharuki. Si kila mtu anajikita kwenye 2% wakati unahimiza jamii iachane na ngano. Jamii haiwezi kuachana na ngano kwa sababu ya 2%.
 
Nani kasema kuwa kila mtu anaathirika? Watz tuna tatizo kubwa la kuelewa mambo yaliyoandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…