Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Mfumo mpya wa upigaji penati uitwao 'ABBA' utatumika kwenye mechi ya jumapili ya Ngao ya Hisani kati ya Arsenal na Chelsea, FA imetangaza.
Kama mechi itaisha kwa matokeo ya sare ndani ya dakika 90, timu zitaenda moja kwa moja kwenye kupiga mikwaju ya penati ili kupata mshindi. Na mfumo huo mpya ambao unaaminika kuwa rafiki zaidi kwa timu ya pili inayoenda kupiga penati, utajaribiwa.
Mfumo huo mpya unatarajiwa kutumika kwenye mashindano yote ya ligi za mpira wa miguu, Uingereza. Mfumo huu upo kwa namna hii AB BA AB BA badala ya mfumo uliozoeleka AB AB AB AB.
Note:
A - timu ya kwanza kupiga penati.
B - timu ya pili kupiga penati