Ngao ya Hisani, Uingereza: Arsenal FC na Chelsea FC kujaribu mfumo mpya wa upigaji penati

Ngao ya Hisani, Uingereza: Arsenal FC na Chelsea FC kujaribu mfumo mpya wa upigaji penati

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Mfumo mpya wa upigaji penati uitwao 'ABBA' utatumika kwenye mechi ya jumapili ya Ngao ya Hisani kati ya Arsenal na Chelsea, FA imetangaza.

Kama mechi itaisha kwa matokeo ya sare ndani ya dakika 90, timu zitaenda moja kwa moja kwenye kupiga mikwaju ya penati ili kupata mshindi. Na mfumo huo mpya ambao unaaminika kuwa rafiki zaidi kwa timu ya pili inayoenda kupiga penati, utajaribiwa.

Mfumo huo mpya unatarajiwa kutumika kwenye mashindano yote ya ligi za mpira wa miguu, Uingereza. Mfumo huu upo kwa namna hii AB BA AB BA badala ya mfumo uliozoeleka AB AB AB AB.

Note:
A - timu ya kwanza kupiga penati.
B - timu ya pili kupiga penati
 
Njia nzur ila ase8 hawatatoka salama ndan ya 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kombe la dunia under 20 mwaka huu FIFA walitumia mfumo huo,ni mfumo rahisi kabisa na unapunguza presha kwa wapigaji
 
Sijaelewa kitu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mfano
A= Simba
B=Yanga
Mfumo wa zamani mpira wa penati timu zinapoga kwa zamu za.
Yanga inapiga
Simba...
Yanga...
Simba...
Yanga...
Simba...
Mfumo unaojaribiwa zamu zitakuwa kama.

Yanga inapiga.
Simba ....
Simba ....
Yanga ....
Yanga ....
Simba....
Simba....
Yanga....
Yanga....
Simba...

Hapo penati tano tano zimeisha.
 
Kama Simba ni A, Yanga ni B. Bsai mfumo unaojaribiwa wa kupiga penati unakuwa hivi.

Atapiga Simba penati ya kwanza (A)
Penati ya pili anapiga Yanga (B)
Ya tatu anapiga Yanga (B)
Ya nne anapiga Simba (A)
Ya tano anapiga Simba (A)

Wataendelea hivyo hivyo mpaka wamalize penati zao

Ndio maana unaitwa ABBA
 
Kama cricket match unascore kadri uwezavyo na zamu ya mwenzio unazuia asiscore kukuzidi point (run)
 
Yani huo mfumo uko hivi

A- Chelsea *(Penalty ya 1)*
B- Arsenal *(Penalty ya 1)*
B- Arsenal *(Penalty ya 2)*
A- Chelsea *(Penalty ya 2)*
A- Chelsea *(Penalty ya 3)*
B- Arsenal *(Penalty ya 3*
B- Arsenal *(Penalty ya 4)*
A- Chelsea *(Penalty ya 4)*
A- Chelsea *(Penalty ya 5)*
B- Arsenal *(Penalty ya 5)*

Wabongo ukianza kuwaambia cjui yanga A simba B ataanza kusema kwa nn yanga iwe A. Haiwezekani.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Simba ni A, Yanga ni B. Bsai mfumo unaojaribiwa wa kupiga penati unakuwa hivi.

Atapiga Simba penati ya kwanza (A)
Penati ya pili anapiga Yanga (B)
Ya tatu anapiga Yanga (B)
Ya nne anapiga Simba (A)
Ya tano anapiga Simba (A)

Wataendelea hivyo hivyo mpaka wamalize penati zao

Ndio maana unaitwa ABBA
Sasa mimi mbona nimeandika hivyohivyo, angalia tena jinsi nilivyoadika.
 
Kama Simba ni A, Yanga ni B. Bsai mfumo unaojaribiwa wa kupiga penati unakuwa hivi.

Atapiga Simba penati ya kwanza (A)
Penati ya pili anapiga Yanga (B)
Ya tatu anapiga Yanga (B)
Ya nne anapiga Simba (A)
Ya tano anapiga Simba (A)

Wataendelea hivyo hivyo mpaka wamalize penati zao

Ndio maana unaitwa ABBA
sawa kabisa hii.......
 
Back
Top Bottom