Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Njia nzur ila ase8 hawatatoka salama ndan ya 90Mfumo mpya wa upigaji penati uitwao 'ABBA' utatumika kwenye mechi ya jumapili ya Ngao ya Hisani kati ya Arsenal na Chelsea, FA imetangaza.
Kama mechi itaisha kwa matokeo ya sare ndani ya dakika 90, timu zitaenda moja kwa moja kwenye kupiga mikwaju ya penati ili kupata mshindi. Na mfumo huo mpya ambao unaaminika kuwa rafiki zaidi kwa timu ya pili inayoenda kupiga penati, utajaribiwa.
Mfumo huo mpya unatarajiwa kutumika kwenye mashindano yote ya ligi za mpira wa miguu, Uingereza. Mfumo huu upo kwa namna hii AB BA AB BA badala ya mfumo uliozoeleka AB AB AB AB.
Note:
A - timu ya kwanza kupiga penati.
B - timu ya pili kupiga penati
Hebu nielimishe ndo upojeKwenye kombe la dunia under 20 mwaka huu FIFA walitumia mfumo huo,ni mfumo rahisi kabisa na unapunguza presha kwa wapigaji
Yaani mfano
Yaani mfano
A= Simba
B=Yanga
Mfumo wa zamani mpira wa penati timu zinapoga kwa zamu za.
Yanga inapiga
Simba...
Yanga...
Simba...
Yanga...
Simba...
Mfumo unaojaribiwa zamu zitakuwa kama.
Yanga inapiga.
Simba ....
Simba ....
Yanga ....
Yanga ....
Simba....
Simba....
Yanga....
Yanga....
Simba...
Hapo penati tano tano zimeisha.
Kweli aiseeeC wangetumia
-A A A A A
-B B B B B
Nadhan unapunguza presha zaidi.....
[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani huo mfumo uko hivi
A- Chelsea *(Penalty ya 1)*
B- Arsenal *(Penalty ya 1)*
B- Arsenal *(Penalty ya 2)*
A- Chelsea *(Penalty ya 2)*
A- Chelsea *(Penalty ya 3)*
B- Arsenal *(Penalty ya 3*
B- Arsenal *(Penalty ya 4)*
A- Chelsea *(Penalty ya 4)*
A- Chelsea *(Penalty ya 5)*
B- Arsenal *(Penalty ya 5)*
Wabongo ukianza kuwaambia cjui yanga A simba B ataanza kusema kwa nn yanga iwe A. Haiwezekani.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jadili hoja kwanza acha mihemko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jadili hoja kwanza acha mihemko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mimi mbona nimeandika hivyohivyo, angalia tena jinsi nilivyoadika.Kama Simba ni A, Yanga ni B. Bsai mfumo unaojaribiwa wa kupiga penati unakuwa hivi.
Atapiga Simba penati ya kwanza (A)
Penati ya pili anapiga Yanga (B)
Ya tatu anapiga Yanga (B)
Ya nne anapiga Simba (A)
Ya tano anapiga Simba (A)
Wataendelea hivyo hivyo mpaka wamalize penati zao
Ndio maana unaitwa ABBA
[emoji120][emoji120][emoji120]Sasa mimi mbona nimeandika hivyohivyo, angalia tena jinsi nilivyoadika.
sawa kabisa hii.......Kama Simba ni A, Yanga ni B. Bsai mfumo unaojaribiwa wa kupiga penati unakuwa hivi.
Atapiga Simba penati ya kwanza (A)
Penati ya pili anapiga Yanga (B)
Ya tatu anapiga Yanga (B)
Ya nne anapiga Simba (A)
Ya tano anapiga Simba (A)
Wataendelea hivyo hivyo mpaka wamalize penati zao
Ndio maana unaitwa ABBA
Mna mdomo kama kocha wenu wa zamani. Ina maana haukumbuki kwa nini tunakutana kwenye community shield? Ngoja nikukumbushe, TULIWABANDUA kwenye FA.
Ndiyo,but haito jirudia tenaMna mdomo kama kocha wenu wa zamani. Ina maana haukumbuki kwa nini tunakutana kwenye community shield? Ngoja nikukumbushe, TULIWABANDUA kwenye FA.
sawa kabisa hii.......