Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ndio ndio...kumbe uliliona hilo na weweLipuli walitakiwa kucheza kombe la shirikisho CAF sema viongozi njaa waliuza ile mechi
Chinekeee[emoji3]Ni tawi la mikia hyo...mzee bhakresa hawezi kuwaacha vijana waifunge team yake
Ingia wewe sasa ulambishwe dawa. Si unaona wenzio wanavyoteswamzee said bakhresa bado ana kadi ya simba
Uwanja unavyoonekana hapo umejaa sana huo,hakuna mapengo popote Leo. Asee simba nguvu moja!Wachezaji wakipasha misuli kabla ya mchezo kuanza..SimbaNguvuMojaView attachment 1183868
👏👏👏👏Sisi 3 wao 1
👏👏👏Goooooooooooooooolooooooooooal....oooooooo kho kho !! konzi lingine SSC 4- Azam 2 Kahata
Nisomee ubao mkuu84' Goooooooooooooooooooaaal Kahata
Nasema hiviiii; KWA SASA SIMBA HAINA MPINZANI NCHINI. Na Ally Mayay Tembele alikuwa sahihi kabisa kuhusu Simba SC Club.
Nisomee ubao mkuu
Tuwasubiri hao wamakonde wa UD Songo!Nasema hiviiii; KWA SASA SIMBA HAINA MPINZANI NCHINI. Na Ally Mayay Tembele alikuwa sahihi kabisa kuhusu Simba SC Club.
Azam wehu tu kamwe sijisumbui kuwaangalia wakicheza na SimbaAzam ni branch ya Simba@