Azam kiungo wao tegemeo hakucheza MudathirUmelala saa 2 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam kiungo wao tegemeo hakucheza MudathirUmelala saa 2 tu
Huu ulikuwa ugomvi wa ndugu,wengine ni ngumu kuingiliaKuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii leo Agosti 17, 2019 Ni mnyukano kati ya bingwa wa TPL, Simba SC na bingwa ASFC, Azam FC, ni mechi mzuri ya aina yake yenye burudani nyingi za soka na ladha ya aina yake uwanjani, ni mchezo utakaovuta hisia za wapenda soka.
Mchezo huo utakaopigwa saa 1:00 usiku kunako dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ni kuashiria kufungua pazia la kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Premier League TPL.
Simba SC, inaelekea kwenye mchezo wa leo ikisaka kombe la sita huku Azam FC, wakisaka kombe la pili katika historia ya Azam na Simba Ngao ya Jamii tangu mwaka 2009.
•••Kulitaka Mwana...Kulipewa Mwana
Mwanachama, Mshabiki wa Simba SC pamoja na Mdau wa kandanda nchini, unakosaje Taifa kushuhudia Show ya hatari ya Next Level Iga Ufe kutoka kwa Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, Klabu yenye wachezaji wenye vipaji, mahiri uwanjani katika kusakata kandanda la viwango vya juu ambavyo vilivyothibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika.
Kutana na Cloutis Chota Chama Triple C, kiumbe mnyumbulifu mwenye udambwi udambwi na makorokoro kibao uwanjani, sambamba na Chuma kutoka Sudan, Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub fundi wa mpira huyu mwenye uwezo kutema kushoto na kufukia kulia, mwenye uwezo wa kugusa na kuachia mpira.
kutana na Mshambuliaji matata Deo Kanda, anayeteleza mithiri ya samaki kambale, ambaye kazi yake ni kuwachukua wapinzani na kuwatambaliza huku wakibaki wanagaa gaa mithiri ya nyoka mweusi aliyemwagiwa mafuta ya taa..!
WanaSimba tukutane Taifa kazi ndo imeanza tunachukua tena This Is Simba SC Next Level Iga Ufe Nguvu Moja..Tukutane Taifa Usikose Ukaambiwa..!
View attachment 1183559
View attachment 1183558
********
MECHI ya 12 leo Uwanja wa Taifa imekamilika na umezalisha mabao mengi kuliko mchezo wowote tangu kuanza kwa michuano hii mwaka 2001.
Sasa Simba imefikia hatua ya Yanga ambao walitwaa mataji hayo mara tano na leo wamefikia hatua ya kutwaa mataji matano.
Azam ambayo imecheza michuano hii mara sita imetwaa taji hilo mara moja sawa na Mtibwa Sugar na iliifunga Yanga kwa penalti.
Hivyo kwa sasa ni rasmi Pazia la Ligi Kuu Bara limefunguliwa kwa Simba kutwaa ngao yao ya jamii ambayo msimu uliopita walitwaa mbele ya Mtibwa Sugar kwa ushindi wa mabao 2-1.
Mabao ya Simba yamefungwa na Sharaf Shiboub ambaye alipachika mabao 2 dakika ya 17 na 21 la tatu limepachikwa na Chama dakika ya 56 na msumari wa mwisho umepachikwa na Kahata dakika ya 78.
Yale ya Azam yamepachikwa na Idd Chilunda dakika ya 13 na Frank Domayo dakika ya 78.
View attachment 1183964
Sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana Sharaf Eldin Shiboub..!
Kwa hiyo yule kiungo aliocheza leo badala ya mudathir mchezaji wa namungo au?Azam kiungo wao tegemeo hakucheza Mudathir
Haaaa haaa haaa haaaa yani nyie gongowazi mpo ka maiti ya kimatumbi hamkosi sababu.Mikia A vs Mikia B
Mtu kafa kwenye ajali ya tanker baada ya teja kuchomoa betri.....watu eti wanaenda kwa mganga kupiga ramli kujua chanzo cha kifoHaaaa haaa haaa haaaa yani nyie gongowazi mpo ka maiti ya kimatumbi hamkosi sababu.
Swali zuri sanaKwa hiyo yule kiungo aliocheza leo badala ya mudathir mchezaji wa namungo au?
Bado sijaamka,,💪Wanasimba hivi leo Jumapili tunaruhusiwa kuamka saa hivi au tusubiri baadaye? Kwa hisani ya Shiboub box 2 box...Midfieder
Bado sijaamka,,[emoji123]
Hii simba nomaa sana,, sharaf aladin abdulrhaman shiboub 😁Endelea kulala mkuu 1kush africa Wanasimba watakulipia muda wako..Iga Ufe This Is Next Level
Lala mkuu hadi saa 5 ukiamka tafuta supu nitakuja kulipaWanasimba hivi leo Jumapili tunaruhusiwa kuamka saa hivi au tusubiri baadaye? Kwa hisani ya Shiboub box 2 box...!
Mbwa umetambulika vyema... €ndelea kubwekAMbwa wote ambao hawamtambui IDDY SULEIMAN RONALDO WA BONGO LEO MTAMJUA VIZURI
[emoji23]Mbwa umetambulika vyema... €ndelea kubwekA