Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anabisha etiNasema hiviiiii:KWA SASA SIMBA HAINA MPINZANI!
Nyie mmefungwa na Polisi 2 bilaAzam wehu tu kamwe sijisumbui kuwaangalia wakicheza na Simba
Anayechomolewa anajulikana. SIMBA level nyingine. Mlugaluga utaelewa tu.Ndailagije naona atapanga kile kikosi cha wachomoa betri maarufu. Mpaka mwisho wa mchezo Simba 1 Azam 2.
Soma hiyoKwani kimetokea nini?Mbona nasikia vigelegele kwa mbali.Kimetokea nini,???
Mtu kala 4
Mechi imeisha, kala nneKwa ngapi??
Yanga wehu tu, kamwe sijisumbui kuwaangalia wakicheza na PolisiAzam wehu tu kamwe sijisumbui kuwaangalia wakicheza na Simba
Mechi imeisha, kala nne