Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Azam sio timu ya spoti spoti,Ingawa siangalii mpira, vipi hapo kwenye ulinzi wa simba vipi mbona mpira unapitika?
Goooooool
Ndailagije naona atapanga kile kikosi cha wachomoa betri maarufu. Mpaka mwisho wa mchezo Simba 1 Azam 2.
Mbwa wote ambao hawamtambui IDDY SULEIMAN RONALDO WA BONGO LEO MTAMJUA VIZURI
Vp unatesekaAzam baada ya kumpiga Namungo goli 8. Nawaona safari hii wapo vizuri sana na wanaweza kuchezea sharubu za Mnyama .
Wanakaa juu ya Azam maliziaLrl
Leo simba wanakaa mapema tu
Umelala saa 2 tuMtakula goli 2
UMESHALALA dadadeq zakoTulia kijana Azam lazima washinde 2 save uzi huu mpaka saa 2
Ana maumivu ya virungu vya janaShadeeya tag me please dear madame 🔥🔥
I love u simbaaaaaa kama savvana ninavyoipendaView attachment 1183925
🤣🤣🤣🤣Polisi ni branch ya wananchi pia
Kwa Simba hii ukijifanya una KISUTI utaumbuka tumikia hamuwezi kukaa bila kututaja taja waume zenu
Hawakosi la kusema hao,,Yakiwakuta Yanga, utasemaje?
Vv
Alisikika Demu wa Zahera akisemaMikia A vs Mikia B