Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

Huu ulikuwa ugomvi wa ndugu,wengine ni ngumu kuingilia
 
Wanasimba hivi leo Jumapili tunaruhusiwa kuamka saa hivi au tusubiri baadaye? Kwa hisani ya Shiboub box 2 box...!
Lala mkuu hadi saa 5 ukiamka tafuta supu nitakuja kulipa

Baba mwenye nyumba alinuna jana usiku baada ya mpira kwisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

eti akasema huyu " AL - SHABAB HUYU ATAKETA NUKSI MWAKA HUU " ANASURA YA KAZI , NAKUONGEZEA SIJUW UMKABE NANI ASIKUFUNGE , UNAMKABA KAGERE WANAKUFUNGA WENGINE[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sijuw alilalaje usiku na mateso kama yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…