Skudu alikuwa aingize goli la msimu Kama sio uhodari wa golikipaWakimchukua Skudu na Maxi huenda wakafanikiwa.
Kumbe huwa kuna goli la msimu wa Bonanza?Skudu alikuwa aingize goli la msimu Kama sio uhodari wa golikipa
Alibashiri vitu gani vingine ukiachana na hili?Kwenye bashiri zako hujawai kukosea,hii nayo imeenda penyewe.
Akikujibu nambie naona nae anapenda kulishwa upepo..Alibashiri vitu gani vingine ukiachana na hili?
Skudu ni mchezaji wa kawaida sana ni kwavile mmemjua juzi,ni wakawaida sana SA..Skudu alikuwa aingize goli la msimu Kama sio uhodari wa golikipa
alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion leagueAlibashiri vitu gani vingine ukiachana na hili?
Wa kawaida wakati amechezea timu kubwa kama Orlando pirates , mamelodi nkSkudu ni mchezaji wa kawaida sana ni kwavile mmemjua juzi,ni wakawaida sana SA..
Jidanganye ivo ivo.... Hata Kambole alitokea Kaizer Chiefs kwenda Utopoloni.Wa kawaida wakati amechezea timu kubwa kama Orlando pirates , mamelodi nk
Lete hizo link za uzialibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before