Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Huko Sundowns ni kama hakufanya kitu Pirates walijuta kumnunua wakamtoa Kwa mkopo mazima wewe Skudu humjui endelea kukaza fuvu muda utasema..
Mchezaji kila mwaka anahama timu hata Pirates kumpeleka Chippa United hawakuwa na ujanja walishaingia mkenge..
Ligi ya afrika kusini ni top league angalia clip za skudu akicheza utaelewa nini namaanisha
 
Ligi ya afrika kusini ni top league angalia clip za skudu akicheza utaelewa nini namaanisha
Clip gani ndugu kama ni shibobo hata watoto mitaani SA wanacheza kutwa kucha,tumia tu akili ya darasa la saba mchezaji kila msimu anahama timu..
Anyway ni suala la muda Kwa jinsi anavyoimbwa ni tofauti na uwezo wake ni wakaida sana..
Mimi ni shabiki wa Pirates namjua vyema clip mimi za nini!
 
Ukiwa shabiki wa Pirates ndio unajua kila kitu?
 
alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
Chuki kwa Yanga imekuzidi mpaka unajitoa ufahamu.
 
Ni sawa kuona demu anaingizwa gesti halafu unabashiri anaenda kupigwa. Huo sio utabiri ni facts
 
Pimbi umeshasema ukweli, mimi ni nani nibishe.
Hata nafasi ya pili huenda ikaenda kwa Azam.

Yanga itaongoza kwa Scudu kupiga danadana nyingi na mbwembwe za kufurahisha mashabiki. Tutamkumbuka sana Mayele
 
Noted!

Nafanya Hii Comment Yangu Nikiwa Hapa Longuo "B"
Nataufuatilia Kunako Pumzi Ya Rabi
 
alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
Kumbe Ni Mkali Sana Kama Pweza Paul (Octopus Paul)
Wakati Wa World Cup
 
Bado sana Mtasema Mpaka YESU kawajiu usiku akiwa na Mama yake BIKILA MARIA wote wakiitakia Simba ushindi msimu huu
 
Back
Top Bottom