Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

Swala sio kutaka yatimie, tunaomba reference tuone tabiri zake zilizopita maana watu wamedai hajawahi kosea. Tuanzie hapo kwanza kwenye kutokukosea. Leteni hizo link za tabiri zake tuzione.
ya kwanza hii hapa ngao ya jamiii
 
Simba ipi iwe bingwa wa nbc na azam fc? Au hata kubeba ndoo ya ngao ya jamii?
1. Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage kwenye sufuria yanapo chemshwa.
2. Sijaona mshambuliaji pale bocco? Baleke? Hamna kitu
3. Kocha anasifia kuwa na wachezaji lakini wote vimeo
4. Simba isipojiangalia naiona ikitoka nje ya nne bora msimu ujao
Vipi wajionaje na hali mkuu?? Ngao ya jamii nani kabeba???
 
Vipi wajionaje na hali mkuu?? Ngao ya jamii nani kabeba???
Kwenye penalti, Ali Salim, golikipa wa robo robo fc aliwahi kutoka golini, refa akapeta. Implication: bahasha za khaki ziltembea
 
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.

Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Na iwe, na watu wote waseme SAWA.

Au sio kweli ndugu zangu Scars, OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Kalpana cocastic Bantu Lady Tate Mkuu na wengineo
 
Kweli Pimbi hamnazo kama Pimbi wengine wote wa Mbumbumbu fc!

Hivi kwa boli la Yanga na morali ya wachezaji wake nani wa kuizuia kubeba makombe miaka mitano mfululizo?

Hizi tabiri ni za pombe aina ya mbege unaiona kabisa ileeee Pimbi anaipiga gudugudugudu!

Tumeshamjua mnywa kimpumu. Endelea na jagi lako. [emoji3][emoji3][emoji28]
 
Nyerere hakuwa mjinga kupeleka mwenge na bendera ya taifa kwenye killed cha mlima Kilimanjaro, yule mzee alikuwa ana vitu vingi sana. Simba nao wamepita mle mle;siyo wajinga kupeleka kibegi kileleni.

Mambo ya kiroho yana vitu ambayo mwenye akili ya kawaida ataona ni upuuzi, na hiki kizazi cha wabishi ila wasiojua lolote, hakitabaini jambo hili kirahisi.NDO UMEISHA HIYO, Yanga wasubiri musimu mwingine.
 
Yanga tunasubiri msimu ujao
 
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.

Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Hapa utabiri umefeli 😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂
 
Nimesoma hatua kwa hatua comment ila naona who lough last lough best
 
Usikute mleta mada ndie uran
uran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
 
Back
Top Bottom