Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
Alibashiri,alibashiri,alibashiri.
 
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.

Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Natafuta miwani 📛
 
uran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
Sasa anaishi kwa mashaka sana
 
vipi mzee naona bingwa wako ana hati hati ya kumaliza nafasi ya tatu
 
uran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
Mkuu Tusamehe tu 🙏🙏
Tusubiri Msimu ujao mambo yatakuwa Sawa
 
uran na ndugu yake DR Mambo Jambo kwenye uzi wa Azam vs Simba alikataa kata kata kuwa Yanga hawawezi kuwa mabingwa. Akaweka na utabiri wa mechi za Yanga zitakavyokuwa huku timu yake ya Simba akiipa ushindi mechi zote. Hakika ushindi dhidi ya Azam ukaupa upofu juu ya Simba na kisha wakaidharau Yanga.
Mkuu haya mambo mbona yashakwisha?
Ubingwa Tumekosa bado na kutusema mtuseme?

We are all humans with flesh
 
Ha
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha mwaka ujao.

Nguvu ya kiroho katika ushindi na kila kitu msimu huu wa 2023/2024 imewaegemea Simba sc kuliko timu nyingine yoyote, Note my words kwa kuanza na Ngao ya Jamii. muwe na msimu mwema 2023/2024 machizi soka na wapenzi wa mpira wa miguu Tanzania na kule visiwani.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.......thimbaaaa..
 
Back
Top Bottom