Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati

Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? "

kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane kwa mategemeo ya mapato makubwa ndio maana watani hawalipi promo
 
Mbona hii imeanza tangu msimu uliopita hii
 
Tatizo lenu mnataka kuiga kila kitu kutoka ulaya nyie ndo mkipewa taasisi mziongoze hamuwezi kufanya mabadiliko yoyote kisa eti emezoeleka hvyo.
 
Back
Top Bottom