Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki.

Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba SC na Yanga SC, na siku hiyo ni lazima mshindi apatikane hata kwa penati.

Nani kuibuka mbabe? Simba SC au Yanga SC.

Mandla.
 

Aliyeroga vizuri na ambaye hajaacha deni lolote kwa Mganga ndiyo ataibuka mshindi.
 
KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA DHIDI YA YANGA
1. Aishi Manula
2. Ally Shomary
3.Zimbwe Junior
4. Salum Mbonde
5. Method Mwanjali
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mzamiru Yassin
10. Laudit Mavugo
11. Emmanuel Okwi
 
KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA DHIDI YA YANGA
1. Aishi Manula
2. Ally Shomary
3.Jamal Mwambeleko
4. Salum Mbonde
5. Method Mwanjali
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mzamiru Yassin
10. Laudit Mavugo
11. Emmanuel Okwi
 
KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA DHIDI YA YANGA
1. Aishi Manula
2. Ally Shomary
3.Zimbwe Junior
4. Salum Mbonde
5. Method Mwanjali
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mzamiru Yassin
10. Laudit Mavugo
11. Emmanuel Okwi
 
Komredi siku ya jumamosi wakati natizama kipindi cha Kurasa za mwisho katika chaneli ya Azam Sports 2 waliuzungumzia huu uzi wako kuhusiana na ulichoandika.

Nashukuru sana kwa huu mrejesho Mkuu na sizungumziwi tu huko katika Media au Vijiwe mbalimbali Mkuu bali hata Nyumbani kwa ' Joni ' pale plot namba 1 ' Feri ' nazungumziwa sana na Watu wake wanafuatilia mno ' maandiko ' yangu humu JF. Nafurahi sana kwani inaonyesha jinsi GENTAMYCINE alivyo na ' impact ' katika Taasisi na Idara mbalimbali nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…