Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

1 . Manila
2 . Nyoni
3 . Zimbwe
4 . Mbonde
5 . Mwanjale
6 . Kotei
7 . Kichuya
8 . Mzamiru
9 . Mavugo
10 .Okwi
11 . Niyonzima
Natabiri hicho nd'o kikosi cha kuwaangamiza vyura wote .

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tumewasikia. Ila usutukane mamba Kayla ujavuka mto. Naomba tuonane J5 jioni km saw hizi
 
Yanga na Simba zikicheza j'mosi mara nyingi Simba huondoka na ushindi, zikicheza j'pili mara nyingi Yanga huondoka na ushindi, siku nyingine yoyote huishia kwa droo au Yanga kushinda kwa ushindi mwembamba...
Mechi ya mwisho, ilichezwa juma ngapi?
 
149c770bdc4989cbf47c341240b4453a.jpg

Achana na machines hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kweli hizo mashine hakuna hata moja ina history ya kuwa mfungaji bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetabiri kuwa
Simba sc 2 Yanga fc 0
Umesema magoli ya Simba sc yatafunhwa na Okwi, Boko na Kichuya.
Hivyo hao washambuliaji watatu watafunga magoli mawili.
Unamaanisha goli moja litafungwa na washambuliaji wawili.
Hapo utabiri wako una dosari tayari.
Sijawahi kuona wala kusikia goli moja limefungwa na washambuliaji wawili katiaka historia ya mpira wa miguu.
 
Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.

Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.
Labda hayo magoli 2 yafungwe na refa.
 
1 . Manila
2 . Nyoni
3 . Zimbwe
4 . Mbonde
5 . Mwanjale
6 . Kotei
7 . Kichuya
8 . Mzamiru
9 . Mavugo
10 .Okwi
11 . Niyonzima
Natabiri hicho nd'o kikosi cha kuwaangamiza vyura wote .

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi kupanga kikosi cha kuanza.
Vipi Juuko Murshid hana nafasi ktk kikosi cha kwanza ?
 
Mkude master pass kila mechi ya yanga na simba lazima atakate na kupoteza viungo wa yanga huyu jamaa kusema kweli ni noma hana mpinzani lkn nashangaa kwann siku hizi anaonekana sio wa umuhimu

Ndemla huyu mido ni nuksi hata derby iliyopita alivyoingia yeye tu ndio mpira ukabadilika fundi kisheti

Mo Ibrahim

Mpaka wakati mwingine nashangaa kwann simba walimsajili nionzima ?sifa tu au sabb simba hawana udhaifu kabisa eneo la kiungo udhaifu wao ni safu ya ushambualiji tu kama viungo wanao wengi wenye uwezo

Kama mkude ,ndemla hawatosheza basi kiungo cha yanga kitawahimili kotey ,nio na mzamiru bila shida yeyote ile
 
Umetabiri kuwa
Simba sc 2 Yanga fc 0
Umesema magoli ya Simba sc yatafunhwa na Okwi, Boko na Kichuya.
Hivyo hao washambuliaji watatu watafunga magoli mawili.
Unamaanisha goli moja litafungwa na washambuliaji wawili.
Hapo utabiri wako una dosari tayari.
Sijawahi kuona wala kusikia goli moja limefungwa na washambuliaji wawili katiaka historia ya mpira wa miguu.
Vyura wagumu kuelewa magoli yatafungwa na Kati ya aliowataja means yanaweza kufungwa na mmoja yote au wawili kati ya Hao watatu wakafunga simple logic acheni ngada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetabiri kuwa
Simba sc 2 Yanga fc 0
Umesema magoli ya Simba sc yatafunhwa na Okwi, Boko na Kichuya.
Hivyo hao washambuliaji watatu watafunga magoli mawili.
Unamaanisha goli moja litafungwa na washambuliaji wawili.
Hapo utabiri wako una dosari tayari.
Sijawahi kuona wala kusikia goli moja limefungwa na washambuliaji wawili katiaka historia ya mpira wa miguu.
Rudi shule wewe,wooote humu wameelewa isipokuwa wewe. Mimi nimesema magoli yatafugwa na kati ya hao.huelewi nini
 
Back
Top Bottom