Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tumewasikia. Ila usutukane mamba Kayla ujavuka mto. Naomba tuonane J5 jioni km saw hizi1 . Manila
2 . Nyoni
3 . Zimbwe
4 . Mbonde
5 . Mwanjale
6 . Kotei
7 . Kichuya
8 . Mzamiru
9 . Mavugo
10 .Okwi
11 . Niyonzima
Natabiri hicho nd'o kikosi cha kuwaangamiza vyura wote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya mwisho, ilichezwa juma ngapi?Yanga na Simba zikicheza j'mosi mara nyingi Simba huondoka na ushindi, zikicheza j'pili mara nyingi Yanga huondoka na ushindi, siku nyingine yoyote huishia kwa droo au Yanga kushinda kwa ushindi mwembamba...
Sawa mkuuHaya tumewasikia. Ila usutukane mamba Kayla ujavuka mto. Naomba tuonane J5 jioni km saw hizi
Naona kweli hizo mashine hakuna hata moja ina history ya kuwa mfungaji bora
Labda hayo magoli 2 yafungwe na refa.Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.
Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.
Umejitahidi kupanga kikosi cha kuanza.1 . Manila
2 . Nyoni
3 . Zimbwe
4 . Mbonde
5 . Mwanjale
6 . Kotei
7 . Kichuya
8 . Mzamiru
9 . Mavugo
10 .Okwi
11 . Niyonzima
Natabiri hicho nd'o kikosi cha kuwaangamiza vyura wote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni ligi ilikuwa Feb 25...Mechi ya mwisho, ilichezwa juma ngapi?
Weka takwimu Mkuu hili ni jukwaa la great thinkers sio la vyuraYanga na Simba zikicheza j'mosi mara nyingi Simba huondoka na ushindi, zikicheza j'pili mara nyingi Yanga huondoka na ushindi, siku nyingine yoyote huishia kwa droo au Yanga kushinda kwa ushindi mwembamba...
Vyura wagumu kuelewa magoli yatafungwa na Kati ya aliowataja means yanaweza kufungwa na mmoja yote au wawili kati ya Hao watatu wakafunga simple logic acheni ngadaUmetabiri kuwa
Simba sc 2 Yanga fc 0
Umesema magoli ya Simba sc yatafunhwa na Okwi, Boko na Kichuya.
Hivyo hao washambuliaji watatu watafunga magoli mawili.
Unamaanisha goli moja litafungwa na washambuliaji wawili.
Hapo utabiri wako una dosari tayari.
Sijawahi kuona wala kusikia goli moja limefungwa na washambuliaji wawili katiaka historia ya mpira wa miguu.
Rudi shule wewe,wooote humu wameelewa isipokuwa wewe. Mimi nimesema magoli yatafugwa na kati ya hao.huelewi niniUmetabiri kuwa
Simba sc 2 Yanga fc 0
Umesema magoli ya Simba sc yatafunhwa na Okwi, Boko na Kichuya.
Hivyo hao washambuliaji watatu watafunga magoli mawili.
Unamaanisha goli moja litafungwa na washambuliaji wawili.
Hapo utabiri wako una dosari tayari.
Sijawahi kuona wala kusikia goli moja limefungwa na washambuliaji wawili katiaka historia ya mpira wa miguu.
Umemalizaaaa ...huu mwaka sitokua na stress...kesho naenda taifa na kicheko ntarudi na kicheko