Usijiumize kichwa mashabiki wengi wa vyura akili zao ndiyo zipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi shule wewe,wooote humu wameelewa isipokuwa wewe. Mimi nimesema magoli yatafugwa na kati ya hao.huelewi nini
Ngoja waje wenye Simba yaoKuna kila aina ya dalili kuwa wachezaji wa Simba wamejazwa hofu kubwa dhidi ya pambano lao na Yanga. Wachezaji wa Simba sasa wana hofu kubwa ya kutekwa, uchawi na kuzomewa na mashabiki wa awali. Viongozi wa Simba wana hofu juu ya ufundi na uwezo mkubwa wa wachezaji wa Yanga kama vile Ajib, Ngoma, Chirwa, Kamusoko na Tshishimbi uwanjani ambao walijaribu kutaka kuwasajili lakini ikashindikana na hatimaye kuambulia sahihi ya Niyonzima. Hata kuamua kurudi kwa ndege kutoka hapo tu Zanzibar ni sehemu tu ya hofu yao hiyo.
Hofu hii itazaa matokeo uwanjani kesho.
Sawa Mechi hiyo vitavunjwa au?
Chirwa hachezi,mwashuwa hachezi na kakolanyaKuna kila aina ya dalili kuwa wachezaji wa Simba wamejazwa hofu kubwa dhidi ya pambano lao na Yanga. Wachezaji wa Simba sasa wana hofu kubwa ya kutekwa, uchawi na kuzomewa na mashabiki wa awali. Viongozi wa Simba wana hofu juu ya ufundi na uwezo mkubwa wa wachezaji wa Yanga kama vile Ajib, Ngoma, Chirwa, Kamusoko na Tshishimbi uwanjani ambao walijaribu kutaka kuwasajili lakini ikashindikana na hatimaye kuambulia sahihi ya Niyonzima. Hata kuamua kurudi kwa ndege kutoka hapo tu Zanzibar ni sehemu tu ya hofu yao hiyo.
Hofu hii itazaa matokeo uwanjani kesho.
Kwa taarifa yako mimi ni mwanachama hai wa Simba Sports Club.Usijiumize kichwa mashabiki wengi wa vyura akili zao ndiyo zipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni hofu yako mwenyewe.Kuna kila aina ya dalili kuwa wachezaji wa Simba wamejazwa hofu kubwa dhidi ya pambano lao na Yanga. Wachezaji wa Simba sasa wana hofu kubwa ya kutekwa, uchawi na kuzomewa na mashabiki wa awali. Viongozi wa Simba wana hofu juu ya ufundi na uwezo mkubwa wa wachezaji wa Yanga kama vile Ajib, Ngoma, Chirwa, Kamusoko na Tshishimbi uwanjani ambao walijaribu kutaka kuwasajili lakini ikashindikana na hatimaye kuambulia sahihi ya Niyonzima. Hata kuamua kurudi kwa ndege kutoka hapo tu Zanzibar ni sehemu tu ya hofu yao hiyo.
Hofu hii itazaa matokeo uwanjani kesho.
Umemsahau Ajib hapo mkuuMkude master pass kila mechi ya yanga na simba lazima atakate na kupoteza viungo wa yanga huyu jamaa kusema kweli ni noma hana mpinzani lkn nashangaa kwann siku hizi anaonekana sio wa umuhimu
Ndemla huyu mido ni nuksi hata derby iliyopita alivyoingia yeye tu ndio mpira ukabadilika fundi kisheti
Mo Ibrahim
Mpaka wakati mwingine nashangaa kwann simba walimsajili nionzima ?sifa tu au sabb simba hawana udhaifu kabisa eneo la kiungo udhaifu wao ni safu ya ushambualiji tu kama viungo wanao wengi wenye uwezo
Kama mkude ,ndemla hawatosheza basi kiungo cha yanga kitawahimili kotey ,nio na mzamiru bila shida yeyote ile
Hahahaaah, hawa jamaa kwakweli wamekwama.... Kelele zote zile, sijaona mchezaji wa kuwaletea ushindi..... TeeteeehSioni goli hapo labda macho yangu hayaoni vizuri.
Mkude master pass kila mechi ya yanga na simba lazima atakate na kupoteza viungo wa yanga huyu jamaa kusema kweli ni noma hana mpinzani lkn nashangaa kwann siku hizi anaonekana sio wa umuhimu
Ndemla huyu mido ni nuksi hata derby iliyopita alivyoingia yeye tu ndio mpira ukabadilika fundi kisheti
Mo Ibrahim
Mpaka wakati mwingine nashangaa kwann simba walimsajili nionzima ?sifa tu au sabb simba hawana udhaifu kabisa eneo la kiungo udhaifu wao ni safu ya ushambualiji tu kama viungo wanao wengi wenye uwezo
Kama mkude ,ndemla hawatosheza basi kiungo cha yanga kitawahimili kotey ,nio na mzamiru bila shida yeyote ile