Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

Kuna kila aina ya dalili kuwa wachezaji wa Simba wamejazwa hofu kubwa dhidi ya pambano lao na Yanga. Wachezaji wa Simba sasa wana hofu kubwa ya kutekwa, uchawi na kuzomewa na mashabiki wa awali. Viongozi wa Simba wana hofu juu ya ufundi na uwezo mkubwa wa wachezaji wa Yanga kama vile Ajib, Ngoma, Chirwa, Kamusoko na Tshishimbi uwanjani ambao walijaribu kutaka kuwasajili lakini ikashindikana na hatimaye kuambulia sahihi ya Niyonzima. Hata kuamua kurudi kwa ndege kutoka hapo tu Zanzibar ni sehemu tu ya hofu yao hiyo.

Hofu hii itazaa matokeo uwanjani kesho.
 
Ngoja waje wenye Simba yao
 
Natizama hapa kwenye ubao naona hakuna kiti hata kimoja kitakachovunjwa. Ila mioyo ya wanayanga wengi itavunjika.watazimia au kupoteza ufaham. Referee atashindwa kabisa kuwabeba sabab hata mbeleko itachanika...mtaani kutakuwa kimya sana na wanayanga wengi wataomboleza wakitaka manji apewe team iwe yake kabisa.

Sawa Mechi hiyo vitavunjwa au?
 
Asanteee mkuu nina Amani zote simba nguvu moja
 
Kuna kila aina ya dalili kuwa wachezaji wa Simba wamejazwa hofu kubwa dhidi ya pambano lao na Yanga. Wachezaji wa Simba sasa wana hofu kubwa ya kutekwa, uchawi na kuzomewa na mashabiki wa awali. Viongozi wa Simba wana hofu juu ya ufundi na uwezo mkubwa wa wachezaji wa Yanga kama vile Ajib, Ngoma, Chirwa, Kamusoko na Tshishimbi uwanjani ambao walijaribu kutaka kuwasajili lakini ikashindikana na hatimaye kuambulia sahihi ya Niyonzima. Hata kuamua kurudi kwa ndege kutoka hapo tu Zanzibar ni sehemu tu ya hofu yao hiyo.

Hofu hii itazaa matokeo uwanjani kesho.
Chirwa hachezi,mwashuwa hachezi na kakolanya
 
Hiyo ni hofu yako mwenyewe.
Halafu vyura fc mnaongelea forward line yenu tu hamuongelei defence line?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkude master pass kila mechi ya yanga na simba lazima atakate na kupoteza viungo wa yanga huyu jamaa kusema kweli ni noma hana mpinzani lkn nashangaa kwann siku hizi anaonekana sio wa umuhimu

Ndemla huyu mido ni nuksi hata derby iliyopita alivyoingia yeye tu ndio mpira ukabadilika fundi kisheti

Mo Ibrahim

Mpaka wakati mwingine nashangaa kwann simba walimsajili nionzima ?sifa tu au sabb simba hawana udhaifu kabisa eneo la kiungo udhaifu wao ni safu ya ushambualiji tu kama viungo wanao wengi wenye uwezo

Kama mkude ,ndemla hawatosheza basi kiungo cha yanga kitawahimili kotey ,nio na mzamiru bila shida yeyote ile
Umemsahau Ajib hapo mkuu

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Sioni goli hapo labda macho yangu hayaoni vizuri.
Hahahaaah, hawa jamaa kwakweli wamekwama.... Kelele zote zile, sijaona mchezaji wa kuwaletea ushindi..... Teeteeeh

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Mkude master pass kila mechi ya yanga na simba lazima atakate na kupoteza viungo wa yanga huyu jamaa kusema kweli ni noma hana mpinzani lkn nashangaa kwann siku hizi anaonekana sio wa umuhimu

Ndemla huyu mido ni nuksi hata derby iliyopita alivyoingia yeye tu ndio mpira ukabadilika fundi kisheti

Mo Ibrahim

Mpaka wakati mwingine nashangaa kwann simba walimsajili nionzima ?sifa tu au sabb simba hawana udhaifu kabisa eneo la kiungo udhaifu wao ni safu ya ushambualiji tu kama viungo wanao wengi wenye uwezo

Kama mkude ,ndemla hawatosheza basi kiungo cha yanga kitawahimili kotey ,nio na mzamiru bila shida yeyote ile

Huyo Mkude wanadai ni Yanga
 
Hamna hofu Simba hata kidogo ladda nyie watani ndio mna hofu ya tano kujiludia tena kabla hamjalipa tano za kwanza.
 
Mpira unachezwa uwanjani sio humu mi ninasubili dkk 90 zina majibu sahihi
 
Back
Top Bottom