muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mwanangu hicho kikosi Yebo lazima wafe, kamba za kutosha aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VILEMA WATUPUKIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA DHIDI YA YANGA
1. Aishi Manula
2. Ally Shomary
3.Zimbwe Junior
4. Salum Mbonde
5. Method Mwanjali
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mzamiru Yassin
10. Laudit Mavugo
11. Emmanuel Okwi
offside ni linesman,sio refa wa katiRefa anachezesha mpira wa Simba Vs Yanga.
Ajibuba afunga goli halari kabisa,
Refa analikataa. (washabiki wa Simba sc wanamvumilia)
Tambwe anaifunga Simba goli la haramu la mkono.
Refa analikubali (mashabiki wa Simba wanavumilia)
Refa anaamua kuumpa mkude kadi nyekundu na kumtoa nje ya uwanja bila kosa lolote.
(hapo mashabiki wanashindwa kuvumilia)
Wanakasirika na kuanza kuvunja viti.
Kuna baadhi ya waliokuwa wafadhiri wa Yanga na viongozi wa TFF walikuwa wanahakikisha Simba inahujumiwa kila mechi na Yanga inashinda kila mechi. Kumbuka mechi ya FA kati ya Yanga na Costal Union uwanja wa Mkwakwani mwaka 2015.
Mimi nakuambia ingekuwa Yanga ndio wamefanyiwa hayo mambo, ule uwanja ungekuwa majivu siku ile.
Kumbuka ile mechi na Azamu Refa alimpa kadi nyekundu ya halari mchezaji wa Yanga na Wachezaji waliamua kuchapa makonde Refa.
Au kumbuka mechi ya Fainari ya Kombe la Afrika mashariki nimeusahau mwaka kama 2010 vile, Yanga ililala goli moja na URA ya uganda.
Uwanja wa Taifa lile vurugu lake lilikuwa kubwa sana ndani na nje ya uwanja, mageti yalivunjwa na ilibidi FFU waingilie kati, ilikuwa kama vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Mashabiki wa Yanga wana hasira na fujo kuliko wa Simba.
hivi nifah yupo!!?
Mpira utaanza saa kumi na moja jioni.
Siku ya Serikali?? Umetoa kali sana mkuu...